Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Nimeshtushwa kwa kupotea Roma na wenzake

Haya ndiyo maneno ya mheshimiwa Mwigulu nchemba kwenye acaunt yake ya Twitter kuhusu kupotea au kuto kuonekana kwa Roma na wenzake

Nimeshtushwa kwa kutokuonekana kwa Msanii Roma na Wenzake mpaka sasa. Nimeshtuka zaidi… Instagram post by Mwigulu Nchemba • Apr 7, 2017 at 6:34pm UTC

5083c5cf74e3fc895300440de33c331e.jpg
Of course kama waziri mwenye dhamana ya usalama wetu anashtushwa na tukio badala ya kuchukua hatua, sisi raia tufanyeje? Imani yetu lazima iwekwe kwa serikali kwamba tunalipa kodi ili tulindwe na wana usalama wetu.
 
Yaani ni vichekesho badala akatuambia ni hatua gani amechukua kama waziri mwenye dhamana na alipofikia anatuambia naye ameshtuka hahaha.mvamizi wa studio anafahamika ni Makonda alianza clauds akafwata tongwe sijui kesho ataingia jf kunisaka mm?
 
Vichekesho kama hivyo hupatikana tanzania peke yake
Hiyo inanikumbusha kauli yake juu ya jamaa aliyemnyooshea nape mguu wa kuku
 
Swala si kushituka swala umechukua uamuzi gani mpaka sasa??unajua majukumu yako Mh?isiwe kupiga marufuku maandamano tu na mikutano bali hata usalama wa raia....2020 kazi ipo
 
Waziri wa Mambo ya ndani Mwigulu Nchemba ni kweli haya:-
  • Maiti zilizokutwa mto Rivu
  • Nape kulengeshwa bastola
  • Ney kuhogia maisha yake
  • Roma Mkatoliki kupotea
Duh Tanzania ni hii tuijuayooo!!!
 
Of course kama waziri mwenye dhamana ya usalama wetu anashtushwa na tukio badala ya kuchukua hatua, sisi raia tufanyeje? Imani yetu lazima iwekwe kwa serikali kwamba tunalipa kodi ili tulindwe na wana usalama wetu.

Upo sawa mkuu

Mwigulu alitakiwa aandike yeye kama waziri amechukuwa hatua gani. Sasa yeye akishtuka itasaidia nini? Akimaliza kushituka achukuwe hatua kama waziri
 
Swala si kushituka swala umechukua uamuzi gani mpaka sasa??unajua majukumu yako Mh?isiwe kupiga marufuku maandamano tu na mikutano bali hata usalama wa raia....2020 kazi ipo
Umemsikia Sirro?
 
Matukio haya now no very serious nashangaa tu mamlaka husika mpo kimya walianza na Ben sa 8 leo Roma
 
Sisi raia wa kawaida ndio tunatakiwa tuseme tumeshtuka, lakini sasa kama Waziri mwenye dhamana na Ulinzi na Usalama wa Raia anasema nae ameshtuka kama sisi then anaishia hapo tu hatuelewi kabisa.
 
Upo sawa mkuu

Mwigulu alitakiwa aandike yeye kama waziri amechukuwa hatua gani. Sasa yeye akishtuka itasaidia nini? Akimaliza kushituka achukuwe hatua kama waziri
Kama nchi, tuna shida sana. Yaani na yeye ambaye ilitakiwa achukue hatua, ni sehemu ya walalamikaji
 
Back
Top Bottom