Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume asema kuna tofauti kubwa Kati ya Mtu kuwa Shetani na Mtu anayefanya Kazi Kishetani Karume anesema Shetani ni Soul hivyo kuna Watu ni Mashetani...
15 Reactions
39 Replies
3K Views
Hello! Sio kwa ubaya lakini, ni kwa wema tu. Mimi sio shabiki wa chama au mtu yeyote ingawa nina kadi mpya ya CCM kwenye kabati langu. Ni kawaida na imezoeleka sasa kila jambo zuri au...
0 Reactions
4 Replies
421 Views
Ada ya wastaarabu ni kupongeza mazuri na kwa wafanyao mazuri. Nimewiwa kumpongeza sana Balozi wetu wa zamani nchini China ,mh.Mbelwa Kairuki- 2017-2023 (sasa balozi Uingereza) kwa maono yake...
1 Reactions
3 Replies
543 Views
Ndugu zangu, Kwa yanayoendelea ya baadhi ya watu walio ndani ya serikali kutaja maovu yanayofanyika kipindi cha chaguzi zilizopita kuhujumiwa , napendekeza wapinzani msikubali kuwa kondoo. Daini...
1 Reactions
0 Replies
311 Views
Kupitia falsafa ya 4Rs, Rais wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan ana lenga na anakusudia kuiponya Tanzania kwa majeraha mbalimbali ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa, na kujenga...
5 Reactions
117 Replies
3K Views
Kwanza kabisa mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CCM wala chama chochote hapa Tanzania. Binafsi kwa mtizamo wangu na kwa kutazama jamii nzima iliyo nizunguka nakiri CCM inaweza isiwe tatizo pekee...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Niseme ukweli CCM imejipanga kwa chaguzi zinazokuja. Huku Mitaani kwetu wanachama wanamiminika kila asubuhi kujiandikisha na kupewa kadi, semina na mikakati ya kushinda chaguzi zijazo. Vyama vya...
0 Reactions
3 Replies
473 Views
Nafasi ya uwakilishi, mathalani udiwani n.k inamfaa zaidi kuliko pale alipo sasa, halafu mbaya zaidi kuna uwezekano mkubwa akatoswa baada ya uchaguzi ndani ya chadema kumalizika baadae mwaka huu...
6 Reactions
151 Replies
4K Views
UJUMBE WA SUMA JKT ZIARANI COMORO KUPATA FURSA ZA BIASHARA Ujumbe wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) unazuru nchini Comoro kwa minajili ya utafutaji wa fursa za...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Leo nimepokea mialiko miwili kupitia magroup ya WhatsApp kuniomba niende kujiandikisha na kupewa kadi ya CCM. Mtaa mmoja nimekuta kundi kubwa la vijana wa mitaani waliochoka kimaisha, wakiwa na...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
ASILI YA UGOMVI WA EDWARD LOWASSA NA SAMUEL SITTA MWAKA 1995, ilianza misheni ya kumshawishi Dk Salim Ahmed Salim, aachane na ukatibu mkuu wa OAU, arejee kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Askofu Bagonza "Jumapili ya 1 September mosi 2024, mmoja wa watekaji wa 4R alijitokeza hadharani na kutoa siri kuwa alihusika katika kuvuruga Nchi na kufanya uhaini wa serikali dhidi ya...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Kiukweli nakerwa sana na gharama zinazotumiwa na Rais kama taasisi ya nchi ambayo idara Yake ni Muhimu sana katika kuhakikisha kuna matumizi mazuri ya makusanyo ya walipa kodi wa Tanzania. Rais...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Nchi za ulimwengu wa tatu ikiwemo Tanzania zina kile kinachoitwa vikao vya ndani. Vikao hivi ujadili mambo mengi ya kimkakati ndani ya misingi ya sheria na nje misingi ya sheria. Lakini katika...
26 Reactions
43 Replies
3K Views
Meya wa Jiji la DSM Kumbilamoto amesema Soko la Kariakoo liko Halmashauri ya Jiji la DSM lakini mapato yake hajui yanakwenda wapi kwa sababu wao hawalisimamii moja kwa moja. Meya amesema kuna...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
RC Arusha amedai Dreva wake alikuwa akitumia gari la RC kutapeli watu apewe pesa. Lakini hakuna Sehemu alimtaja kwa jina na wala sijawahi kusikia muhusika akifikishwa mahakamani. Waliotapeliwa nao...
0 Reactions
10 Replies
958 Views
Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mbunge wa Kigamboni na Naibu Waziri wa Afya wa zamani Dkt. Faustine Ndugulile, ameshinda uchaguzi wa kiti cha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika. Katika Uchaguzi...
17 Reactions
102 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…