Meya Kumbilamoto: Soko la Kariakoo liko Halmashauri ya Jiji la DSM lakini mapato yake sijui yanakwenda wapi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,903
141,849
Meya wa Jiji la DSM Kumbilamoto amesema Soko la Kariakoo liko Halmashauri ya Jiji la DSM lakini mapato yake hajui yanakwenda wapi kwa sababu wao hawalisimamii moja kwa moja.

Meya amesema kuna bodi ya Soko ndio inahusika na makusanyo ya mapato.

Source: Star tv Medani za Siasa
 
Meya wa Jiji la DSM mh Kumbilamoto amesema Soko la Kariakoo liko Halmashauri ya Jiji la DSM lakini Mapato yake hajui yanakwenda wapi kwa sababu wao hawalisimamii Moja kwa Moja

Meya amesema kuna bodi ya Soko ndio inahusika na makusanyo ya Mapato

Source: Star tv Medani za Siasa
aibu kwa Meya wa jiji kusema hajui mapato yanakwenda wapi.
 
Meya wa Jiji la DSM mh Kumbilamoto amesema Soko la Kariakoo liko Halmashauri ya Jiji la DSM lakini Mapato yake hajui yanakwenda wapi kwa sababu wao hawalisimamii Moja kwa Moja

Meya amesema kuna bodi ya Soko ndio inahusika na makusanyo ya Mapato

Source: Star tv Medani za Siasa
Kwa hiyo anachonga kwa nani....huyo mayor wenu
Kiufupi ajui majukumu yaka
 
Meya wa Jiji la DSM Kumbilamoto amesema Soko la Kariakoo liko Halmashauri ya Jiji la DSM lakini mapato yake hajui yanakwenda wapi kwa sababu wao hawalisimamii moja kwa moja.

Meya amesema kuna bodi ya Soko ndio inahusika na makusanyo ya mapato.

Source: Star tv Medani za Siasa
SI ndio huyu alidai ukawa walikua wanapiga Kila kitu vip Tena hajui mapato ya Jiji?
 
Huyo meya mjinga

Lile soko linaendeshwa na shirika la umma shirika la masoko kariakoo

Mapato wapatayo kama yalivyo mashirika mengine ya umma faida ikipatikana serikali hupewa gawio
 
Meya wa Jiji la DSM Kumbilamoto amesema Soko la Kariakoo liko Halmashauri ya Jiji la DSM lakini mapato yake hajui yanakwenda wapi kwa sababu wao hawalisimamii moja kwa moja.

Meya amesema kuna bodi ya Soko ndio inahusika na makusanyo ya mapato.

Source: Star tv Medani za Siasa

Meya wa Jiji la DSM Kumbilamoto amesema Soko la Kariakoo liko Halmashauri ya Jiji la DSM lakini mapato yake hajui yanakwenda wapi kwa sababu wao hawalisimamii moja kwa moja.

Meya amesema kuna bodi ya Soko ndio inahusika na makusanyo ya mapato.

Source: Star tv Medani za Siasa
Swala rahisi tu,sio kwamba pesa inaenda kwa Mwamposa kimiujiza,mapato yanaliwa na one of friends of Samia/Kikwete,/ccm.
Mwana mtandao mmoja wa ccm ndio anakula hiyo pesa,
Kipindi Fulani wakati stend ya mkoa kwa dar ilipokuwa ubungo,kampuni ilyokuwa inakusanya mapato pale sted ilikuwa ya familia ya Kingunge ngombale mwiru.
Sasa hv wanaoupiga mwingi ni wale pro ccm,marafiki,ndugu,wafanyabiashara ambao ni marafiki na utawala.
Sasa hv kama unataka kula vzr,we jipwndekeze tu kwa Wana ccm,wakubwa wakikuona,asali utalamba tu,ukiwa against huu utawala,na familia za Wana Ikulu,(Mwinyi,Kikwete,Mkapa,) tender no hupati.
 
Back
Top Bottom