Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa iliyosambazwa na Chama Chake hii hapa
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Wazo liko hivi; Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Nchi zigawike kwa kuzingatia kanda kuu 4. Kanda ya Kaskazini, kanda ya kusini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya mashariki. Tunaweza kuzipa...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Natoa tamko la kumuomba radhi Abdulrahman Kinana, ikumbukwe nilikuwa na kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyofunguliwa na Kinana kutokana na matamshi niliyowahi kuyatoa kumuhusisha na...
15 Reactions
306 Replies
36K Views
Tatizo la viongozi wengi nchini Tanzania kusoma hotuba bila kuwasilisha mawazo yao binafsi linaweza kuchukuliwa kuwa na sababu kadhaa. Kwanza, kuna uwezekano wa uelewa mdogo wa masuala...
1 Reactions
7 Replies
399 Views
Tuzidi kumwombea maisha marefu mh Tundu Antipas Lisu hasa tukikumbuka jinsi Mungu wa Mbinguni alivyomponya Mungu mrehemu Mbunge wa Zanzibar Turkey aliyekodi Chopa kumuwahisha Tundu Lisu Nairobi...
0 Reactions
9 Replies
408 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makala Amepokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo vingi sana na maelfu ya wananchi wa Karatu katika...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Huu ni mchango wa mbunge wa jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/2025 tarehe 30 Mei 2024 bungeni Dodoma. “....Serikali tarehe 16...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwakua tuna wizara 18 kila wizara ipewe tr moja, hapa kila sehemu palipo kwama panatatulika deni la taifa angalao tr 10 tuwe huru kufunguliwe mradi w kilimo cha umwagiliaji kila wilaya kwa hela...
9 Reactions
104 Replies
7K Views
Friends and Enemies, Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv. Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu...
4 Reactions
66 Replies
2K Views
Wakuu napendekeza wakurugenzi wateuliwe kutoka kwenye maeneo husika ili kuwa na uchungu wa pesa za miradi zinazotolewa kwenye maeneo husika. Hii ya kuletewa mkurugenzi asiye mwenyeji wa eneo...
4 Reactions
14 Replies
645 Views
Mradi mmoja tu wa Tanzania wa reli ni zaidi ya $10B sasa China kusema watawekeza $16.6B kwa mwaka kwa miaka 3 kwa Africa nzima ni kichekesho kwa nchi kubwa vile na haita badilisha chochote. China...
4 Reactions
14 Replies
817 Views
Swali kidogo. Hawa viongozi wanamatatizo. Unamuwakilishaje Mama Samia kwa dc wa aina hii. Kama ni uteuzi wa kujuana sawa. Hivi hakuna vijana wenye hekima? Au ndio kuzidiana Dumba? Asilimia...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Mkoa wa Mbeya, kama mikoa mingine nchini, unakabiliwa na changamoto kubwa katika masuala ya uokoaji wa abiria wakati wa ajali. Hali hii inadhihirisha upungufu wa vifaa vya uokoaji, ambavyo ni...
0 Reactions
1 Replies
432 Views
Dkt. Faustin Ndugulile (55) ametangaza adhma kuachia ngazi nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kigamboni baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika...
28 Reactions
158 Replies
7K Views
Kumekuwa na Mambo mengi ya ovyo hapa Nchini. Viongozi wengi wa Dini wamejitokeza hadharani kukemea maovu hayo, lakini kuna viongozi wa Dini nyingine wapo kimya kana kwamba hawayaoni...
1 Reactions
4 Replies
593 Views
Ndugu zangu kauli hz zimezoeleka sana tunapokuwa tunaelekea kwenye uchaguzi na tukiwa kwenye uchaguzi vilevile,je Hv ni kweli mtu anaweza kula pesa ya mtu na asimpe kura?,na je aliyetoa pesa hizo...
3 Reactions
4 Replies
510 Views
Habari JF , sakata la Mwenyekiti Mbowe vs Mchungaji msigwa linaturudisha Nyuma sana. Kipindi Mzee lowassa-RIP anasemwa vibaya kila kona na kuchafuliwa lakini mwisho wa Siku alikuja kuwa mgombea...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Mchungaji Msigwa asisahau namna CHADEMA walivyompambania dhidi ya Monica 2010 Mchungaji Msigwa asisahau jinsi Baadhi ya wazawa wa CCM wale Team Lowassa walivyomkataa Mwakalebela na kusema...
3 Reactions
3 Replies
445 Views
TABIA ZA MTU MZALENDO Na Joseph Nyoni Uzalendo nini? Uzalendo ni ibada ya kulipenda, kulitumikia na kulitetea taifa katika hali yoyote pamoja na kutanguliza maslahi ya taifa. Zifuatazo ni tabia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom