Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mambo yote ya awamu ya Tano yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu. Kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
61 Reactions
183 Replies
13K Views
Bilionea Amduni Nassor mmiliki wa mabasi ya A-N coach amefariki ajalini baada ya Bus la Abiria alilokuwa anaendesha kupata ajali Huyu ni Bilionea wa pili kufa ajalini Ndani ya Kipindi kifupi...
13 Reactions
87 Replies
7K Views
KWenye jambo hili la utekaji na mauaji halijaanza na ndugu Yetu Ali Kibao. Limekuwepo kwa muda sasa huku likilindwa na baadhi ya watu wente namlaka. Kama kweli Rais unataka kuwapata wahusika...
5 Reactions
8 Replies
697 Views
Mahojiano ya Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Othman Yakubu na Radio UFM kuhusu biashara baina ya Comoro na Tanzania na Ziara ya Shirika la Uzalishaji mali la Jeshi la Kujenga Taifa -...
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huu ni ujumbe wa speaker wetu wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Mbunge wa Mbeya Mjini na ambaye pia ndiye Rais wa umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Daktari...
5 Reactions
94 Replies
5K Views
Kada na mwanachama wa CHADEMA, Martin Marnja Masese ametumia ukurasa wake wa Twitter kudokeza kuwa wakati wanaelekea kwenye mazishi ya mzee Ali Mohamed Kibao walikutana na dereva wa basi la...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Mh Rais Mimi sifi Leo nimepokea salamu ZAKO za pole kwangu kufatia kifo Cha mzee Kibao Mwanajeshi aliyepigana vita vya kagera. Kada mwenzangu wa Chadema kiongozi wangu kitaifa katika chama...
3 Reactions
8 Replies
845 Views
Teuzi za kisiasa bila kujali taaluma ndio tatizo lililoliangamiza Bara la Africa Viongozi wa Africa wanawaza Uchaguzi wakati Wote Ni Lazima tufike mahali Teuzi za kisiasa ziishie kwenye Ajira za...
2 Reactions
4 Replies
494 Views
Ama kweli siasa sio uadui, na hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa.. Wabobevu na manguli wa siasa za Tanazania wameamua kujitosa na kuchukua hatua za kuingilia kati ugomvi wa kisiasa na kutuliza...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
RPC Mstaafu Mh Jamal Rwambo amesema kabla hajakamatwa Mwananchi ana Haki ya kujua kwanini anakamatwa Aidha Polisi mkamataji ni lazima ajitambulishe na kueleza kituo Cha Polisi anachotoka Rwambo...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Katika ujumbe wake kwa @MwananchiNews jana usiku, Septemba 8, 2024, kufuatia kifo cha Mjumbe wa Sekeretarieti ya Chadema, Ally Kibao ambaye aliuwawa na kisha mwili wake kukutwa umetupwa...
0 Reactions
2 Replies
352 Views
Enyi mliopo kwenye wizara ya utumishi jitahidini mnapopanga mambo yenu mkumbuke hawa vijana wanaoomba ajira bado ni tegemezi kwa wazazi. Mtoto(Dr) alipangiwa usaili wa kwanza Kibaha mkoa wa Pwani...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Pamoja na kwamba Media zote za Ndani zinajiendesha kwa kugombania Matangazo ya Serikali lakini hilo haliwaondolei wajibu wao wa Kuwa Wazalendo Kwamba sasa taarifa muhimu tunawategemea BBC...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Hoja ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ikiwemo watoto imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest kutaka mkakati wa Serikali kukomesha matukio hayo aliyodai...
5 Reactions
78 Replies
5K Views
Rais Samia, Labda pengine wengine wanakuogopa. Au tuseme wanashindwa kukufikishia ujumbe. Lakini mimi, kwa unyenyekevu kabisa, nimeona kupitia safu hii niwe nakupenyezea yale ambayo yanasemwa huku...
2 Reactions
0 Replies
396 Views
Je ni kweli kuna miili mingine mitatu iliokotwa sambamba na marehemu Kibao? Kama ni kweli, kwa nini polisi haitoi taarifa kuhusu kupatikana miili hiyo? Watanzania mlioko nyumbani, nendeni...
3 Reactions
7 Replies
913 Views
Mtizamo wangu kisiasa na ushauri wangu kwa chama cha Mapinduzi nikumwomba Msigwa asiendelee kuhojiwa kwenye vyombo vya habari. Kadri anavyohojiwa ndivyo anawafanya wana CCM waonekane wana akili...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa kawaida hawa watekaji na wauaji wanapofanya uharamia kama waliomfanyia Ali Kibao RIP, huwa wana watu wao ambao huwa wamewapanga barabara zote watakazopita ili wasipate kizuizi mahali popote...
1 Reactions
1 Replies
665 Views
Mchungaji Peter Msigwa kada mpya wa CCM yupo live Star Tv. Fungulia tumsikilize Soma Pia: Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu
0 Reactions
2 Replies
648 Views
Jana tarehe 09 Septemba 2024 tumeshuhudia mazishi ya marehemu Ally Kibao aliyetekwa na wanaosadikika ni polisi na hatimaye kuokotwa kesho yake ameuawa. Kilichojiri msibani ni pale waombolezaji...
3 Reactions
16 Replies
793 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…