Kiufupi suala la kupigwa risasi Tundu Lissu ndo chanzo cha awamu ya Tano kuchukiwa nchi nzima

Mambo yote ya awamu ya Tano ... yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundulissu.

kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
Huyo Tundu Lisu wako alikuja kugombea na hakupata hata kura millioni 2.

Lofa ,zee la MIGA alidhani watanzania ni wajinga watachagua msaliti.
 
Kama ni kweli Tundu Lisu alipigwa risasi kwa amri ya Magufuli kwa nini sasa hawaweki ushahidi mezani ili kummaliza kabisa ? Tunaona wanaomchukia Magufuli wote sasa wana power kuanzia chamani mpaka Serikalini na wanajaribu kwa kila hali kummaliza chochote alichofanya, sasa kwa nini wasiweke wazi kwamba Magufuli alihusika na kuwashitaki Mahakamani wahusika kwa maana wanawajua kama ni kweli ni Amri ya Raisi ?

Kwa nini Tundu harudi Tanzania kwa sasa ni salama kwake ?
 
Kweli kabisa. Ilivyofikia hali ya kutoana uhai kwa "kosa" la tofauti za mawazo na mtizamo wa kisiasa, basi hata kama utajenga SGR na bwawa la umeme kila kijiji utakuwa bado utakuwa haufai. Uhai ni kitu muhimu sana. Kinatolewa na Mungu na awe ndiye mtu wa kukichukua tu.
Mambo yote ya awamu ya Tano ... yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundulissu.

kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
 
Tuliza munkari. Usijipige kifua. Hata mwaka bado haujaisha tangu Mungu asikie maombi ya waja wake. Yote yaliyofanyika gizani na Magufuli na chawa wake akina Sabaya, Bashite nk yatajulikana tu. Tuombe uzima.
Kama ni kweli Tundu Lisu alipigwa risasi kwa amri ya Magufuli kwa nini sasa hawaweki ushahidi mezani ili kummaliza kabisa ? Tunaona wanaomchukia Magufuli wote sasa wana power kuanzia chamani mpaka Serikalini na wanajaribu kwa kila hali kummaliza chochote alichofanya, sasa kwa nini wasiweke wazi kwamba Magufuli alihusika na kuwashitaki Mahakamani wahusika kwa maana wanawajua kama ni kweli ni Amri ya Raisi ?

Kwa nini Tundu harudi Tanzania kwa sasa ni salama kwake ?
 
Mambo yote ya awamu ya Tano ... yanaonekana kama hakuna cha maana kilichofanyika na chanzo kikubwa ni jaribio la mauaji kwa Tundulissu.

kwa kuhitimisha hakuna legacy yeyote iliyoachwa na Mwanazake.
Nchi ya watu wasiotakiwa kujulikana
 
Back
Top Bottom