Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tuzungumze ukweli tuache unafiki na ushabiki maandazi Huyu mama tokea amepewa nchi kafanya kipi cha maana cha kumgusa mwananchi wa chini? Hapa sizungumzii miradi ya Magufuli, yeye Samia toka...
20 Reactions
177 Replies
6K Views
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi? Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
29 Reactions
100 Replies
4K Views
Jukumu kuu la kwanza la Serikali yoyote Duniani ni kulinda uhai wa raia wake. Kiongozi Mkuu wa Serikali ni Rais. Hivyo jukumu kuu la kwanza la kiongozi mkuu wa Serikali ni kuwalinda raia wake...
1 Reactions
3 Replies
328 Views
GTs, Kwa sisi watalaamu wachache wa historia, kama ulisoma kitabu cha utawala wa Warumi (Roman Empire), utakubaliana kuwa utawala wa Dkt Samia ni kama wa emperor Commodus. Yaani Dkt Samia toka...
0 Reactions
7 Replies
489 Views
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma. Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi...
1 Reactions
273 Replies
10K Views
Dr Samia Suluhu Hassan tokea alipoapishwa kuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli amekuwa akifanya kazi kubwa sana katika kuijenga Tanzania mpya huku akionyesha uwezo na...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo amefanya uteuzi wa wajumbe watatu wa Tume ya Ushindani (FCC) Kulingana na taarifa iloyotolewa na Wizara ya Viwanda na Biashara, Waziri...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Nashangaa sana kusikia Kauli za baadhi ya Viongozi wa CCM wakisema Eti UCHAGUZI ujao utakuwa HURU na HAKI. Najiuliza huo HURU na HAKI ya UCHAGUZI utapatikana vipi wakati VYOMBO na WATENDAJI bado...
2 Reactions
5 Replies
784 Views
Nadhani Mungu wa mbinguni anawauliza mlichokuwa mnagombania ni nini? Hii Dunia imejaa Hila, Udanganyifu na Dhulma Yesu Kristo alisema " itamfaa nini mtu kuupata Ulimwengu wote na Yeye mwenyewe...
0 Reactions
5 Replies
280 Views
Zitto Kabwe amesema Haikubaliki Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea Kutekwa na Kuuawa Jukumu la msingi la Dola lolote Duniani ni Kulinda Uhai wa Watu wake Hakuna Taifa Bila Watu...
11 Reactions
61 Replies
3K Views
Mwenye uelewa jamani maana ni Heri kuziba nyufa kuliko kuja kujenga UKUTA Sheikh Mussa Salum na Kamati yake Wana majukumu gani Kwa sasa? Ahsanteni cc: The Big Show, Lucas
0 Reactions
2 Replies
206 Views
Tunapokosea watanzania ni kuendelea kuruhusu CCM ibaki madarakani kwa muda mrefu zaidi. Mfumo wowote wa uongozi ukibaki madarakani muda mrefu matokeo yake ni kujisahau na kufanya mambo kwa mazoea...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania leo September 09,2024 imesema kuwa waleta maombi kwenye shauri ambalo walikuwa wanaomba idhini ya Mahakama wana haki ya kufungua kesi kuhoji uhalali wa Sheria ndogo...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
KATA ya Mzingani, Tanga, nyumbani kwa Ali Mohammed Kibao, ni eneo la tukio. Watu wanazomea, makofi yanapigwa na mayowe ya kushangilia. Ajabu, mkusanyiko ni wa msiba. Shughuli ni mazishi. Ali...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
*Asema wanaomtishi watakamatwa JESHI la Polisi limempa ulinzi wa siri Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Zitto Kabwe (CHADEMA) kama njia ya kumkinga asidhuriwe na maadui wake katika siasa. Hatua hiyo ya...
3 Reactions
146 Replies
16K Views
Siku moja baada ya Kamati Kuu ya Chadema kumvua uongozi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Taifa wa chama hicho, Zitto Kabwe, mama yake mzazi, Shida Salum ametoa ya moyoni akieleza kuwa kilichomkuta...
3 Reactions
143 Replies
17K Views
Akijibu hoja za wabunge jioni hii,waziri wa mambo ya ndani, mh. Emmanuel Nchimbi amesema hakuna tume itakayoundwa kuchunguza tukio la bomu lililotokea Soweto mkoani Arusha katika mkutano wa...
4 Reactions
82 Replies
9K Views
Mfanyabiashara Maarufu aliyeongoza kampeni za Mbunge wa Arusha Mwaka 2010 Godbless Lema anayefahamika kwa jina la Mboya amenusurika kifo baada ya kuchomewa Nyumba yake usiku wa kuamkia Leo...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Rais Kikwete ndiye rais aliyekuwa akisikiliza kelele za wapinzani. Walikuwa wakisema anawaita ikulu kwa ajili ya mashauriano na kutafuta suluhu. Rais Magufuli alipoingia madarakani, alitangaza...
2 Reactions
6 Replies
485 Views
Watoa taarifa wakizungumza na Mongabay wameripoti visa vya ujangili kwa miongo kadhaa nchini Tanzania vinavyohusishwa na kampuni ya uwindaji wa kifahari inayohudumia matajiri na familia ya kifalme...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…