Nchimbi: Hakuna tume itakayoundwa kuchunguza tukio la bomu Soweto

S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
32,591
Likes
69,328
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
32,591 69,328 280
Akijibu hoja za wabunge jioni hii,waziri wa mambo ya ndani,mh.Emmanuel Nchimbi amesema hakuna tume itakayoundwa kuchunguza tukio la bomu lililotokea Soweto mkoani Arusha katika mkutano wa CHADEMA.Badala yake amewataka wale wanaodai kuwa na ushahidi waupeleke na amewataka waache kusema kila siku tu kuwa wana ushahidi bila kuuwasilisha.

MY TAKE:
Hivi kweli huyu ndio mshauri wa Raisi?!!

Hakika,wateule wa JK ni janga kwa ustawi wa nchii hii.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,497
Likes
29,618
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,497 29,618 280
Nchimbi kawapa za uso. Hakuna tume itakayoundwa na nyinyi mnaosema ushahidi mnao endeleeni kutembea nao kwenye briefcase.

My take: hamna ushahidi wala nini mna uongo tu. Hii itakuwa kama ya Zitto kapiga kelele imeundwa kamati hana jina wala akaunti.

Kuna watu wana viwanda vya uongo - Kikwete
 
Nyamgluu

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
3,144
Likes
98
Points
145
Nyamgluu

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2006
3,144 98 145
Sijui itaindwa tume ya Mwanza? Au na yenyewe wenye ushahidi wapeleke?
Jamani vile vifo si ushahidi tosha kua tukio lilitokea na ni mpaka leo hakuna aliyekua aprehended!
Haya! Yangu macho!
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
491
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 491 180
Akijibu hoja za wabunge jioni hii,waziri wa mambo ya ndani,mh.Emmanuel Nchimbi amesema hakuna tume itakayoundwa kuchunguza tukio la bomu lililotokea Soweto mkoani Arusha katika mkutano wa CHADEMA.Badala yake amewataka wale wanaodai kuwa na ushahidi waupeleke na amewataka waache kusema kila siku tu kuwa wana ushahidi bila kuuwasilisha.

MY TAKE:
Hivi kweli huyu ndio mshauri wa Raisi?!!

Hakika,wateule wa JK ni janga kwa ustawi wa nchii hii.
Hivi Nchimbi ana akili kweli? Bomu walipue wao, ushahidi wapewe wao ni ujinga wa namna gani?
Kama Rais hataunda tume huru tutakaa na ushahidi wetu hadi 2015 tutakapogawa CD kwa wapiga kura. Hiyo ndiyo mahakama pekee ya umma Tanzania
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
32,591
Likes
69,328
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
32,591 69,328 280
Nchimbi kawapa za uso. Hakuna tume itakayoundwa na nyinyi mnaosema ushahidi mnao endeleeni kutembea nao kwenye briefcase.

My take: hamna ushahidi wala nini mna uongo tu. Hii itakuwa kama ya Zitto kapiga kelele imeundwa kamati hana jina wala akaunti.

Kuna watu wana viwanda vya uongo - Kikwete
Kikwete mwenyewe ni mkweli?!
 
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
694
Likes
8
Points
0
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
694 8 0
Mh kama hayo ameyasema basi mawaziri mizigo wapumzishwe sasa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined
Sep 11, 2010
Messages
9,390
Likes
1,198
Points
280
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined Sep 11, 2010
9,390 1,198 280
hatari sana hawa viazi wa ccm,
 
G

gogo la shamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Messages
6,604
Likes
1,264
Points
280
Age
58
G

gogo la shamba

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2013
6,604 1,264 280
Akijibu hoja za wabunge jioni hii,waziri wa mambo ya ndani,mh.Emmanuel Nchimbi amesema hakuna tume itakayoundwa kuchunguza tukio la bomu lililotokea Soweto mkoani Arusha katika mkutano wa CHADEMA.Badala yake amewataka wale wanaodai kuwa na ushahidi waupeleke na amewataka waache kusema kila siku tu kuwa wana ushahidi bila kuuwasilisha.

MY TAKE:
Hivi kweli huyu ndio mshauri wa Raisi?!!

Hakika,wateule wa JK ni janga kwa ustawi wa nchii hii.
kama walivyopiga kura Arusha baada ya bomu hilo kama tume haitaundwa ndivyo tutakavyopiga kura 2015 kwenye uchaguzi mkuu, ccm wanajimaliza wenyewe
 
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined
Sep 11, 2010
Messages
9,390
Likes
1,198
Points
280
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined Sep 11, 2010
9,390 1,198 280
ikulu yenyewe ni mzigo
 
G

gogo la shamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Messages
6,604
Likes
1,264
Points
280
Age
58
G

gogo la shamba

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2013
6,604 1,264 280
Nchimbi kawapa za uso. Hakuna tume itakayoundwa na nyinyi mnaosema ushahidi mnao endeleeni kutembea nao kwenye briefcase.

My take: hamna ushahidi wala nini mna uongo tu. Hii itakuwa kama ya Zitto kapiga kelele imeundwa kamati hana jina wala akaunti.

Kuna watu wana viwanda vya uongo - Kikwete
kama umeona Nchimbi kawapa za uso na wananchi watampa za uso 2015 kama walivyowapa za uso kwenye uchaguzi wa madiwani Arusha
 
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
8,682
Likes
6,309
Points
280
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
8,682 6,309 280
tutatoa ushahidi wa mabomu ya soweto mwaka 2015!!kwenye mahakama ya umma! kama tume huru itashindikana,Hii ni serikali ya mizigo!!! inayoongozwa na mizigo.
 
manning

manning

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,528
Likes
116
Points
160
manning

manning

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,528 116 160
Mhuuuuuu !!!!!?? Mashakaka makubwa haya !! Huyu jamaa yumo kweli kwenye wale mawaziri saba vimeo?
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
491
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 491 180
Nchimbi kawapa za uso. Hakuna tume itakayoundwa na nyinyi mnaosema ushahidi mnao endeleeni kutembea nao kwenye briefcase.

My take: hamna ushahidi wala nini mna uongo tu. Hii itakuwa kama ya Zitto kapiga kelele imeundwa kamati hana jina wala akaunti.

Kuna watu wana viwanda vya uongo - Kikwete
Kikwete mwenyewe anamiliki Benki ya uwongo.............. Anatumia nini kufikiri mpaka anataka kuugeuza ukweli wa chadema uwe uwongo?
Kikwete kama ni mkweli basi aunde tume huru kama ushahidi haujamwagwa pwaaaaaa!
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,920
Likes
2,917
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,920 2,917 280
Plan a ya chadema ya kuundwa tume imeshndkana,plan b tupewe hizo cd basi ili tuzioneshe kwa watanzania wote ili wajue cha kuifanya maccm. Au hili nalo lazima tuombe kibali toka tengeru?
 
I

ilboru1995

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
2,331
Likes
21
Points
0
I

ilboru1995

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2007
2,331 21 0
...wahenga walishasema ukiishi kwa upanga utauawa kwa upanga...Soon yatawakumba ya MABINA..
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,514
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,514 280
Nchimbi kawapa za uso. Hakuna tume itakayoundwa na nyinyi mnaosema ushahidi mnao endeleeni kutembea nao kwenye briefcase.

My take: hamna ushahidi wala nini mna uongo tu. Hii itakuwa kama ya Zitto kapiga kelele imeundwa kamati hana jina wala akaunti.

Kuna watu wana viwanda vya uongo - Kikwete
Kajibu km CDM walivyotaka...ili 2015 wananchi waaambiwe ukweli CCM wamemshika nani na wameishia wapi kuhusu lile Bomu..Lema atalisema vyema majukwaani km Si Steve Nyerere.
 
Forum statistics

Threads 1,252,124
Members 481,989
Posts 29,796,487