Wakurugenzi kusimamia uchaguzi, tume ya uchaguzi kuendelea na muundo ule ule hakuna uchaguzi huru na haki

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,487
2,351
Nashangaa sana kusikia Kauli za baadhi ya Viongozi wa CCM wakisema Eti UCHAGUZI ujao utakuwa HURU na HAKI. Najiuliza huo HURU na HAKI ya UCHAGUZI utapatikana vipi wakati VYOMBO na WATENDAJI bado ni walewale WALIOHARIBU UCHAGUZI wa 2019 na 2020? TUME ya UCHAGUZI ni ile ile imebadili JINA tu, Mwenyekiti Katibu na WATENDAJI wote wanateuliwa na mmoja wa WAGOMBEA Urais, WASIMAMIZI wa UCHAGUZI ambao ni WAKURUGENZI bado ni Walewale nao Wanateuliwa na MGOMBEA Urais.

Rais wa AWAMU ya 5 aliwahi kutamka hadharani kuwa Atamshangaa Mkurugenzi atakayemtangaza Mgombea wa Upinzani ktk Jimbo Lake kwani amempa Gari na anamlipa Mshahara je kwa Kauli kama hii unatarajia Kutakuwa na UCHAGUZI HURU na HAKI?

Binafsi siamini kabisa kwani Dalili za UCHAGUZI usio HURU na HAKI tayari Zimeonekana Kwa Kutokufanyika MABADILIKO yoyote ya Muundo wa TUME ya UCHAGUZI licha ya Maoni na Mapendekezo ya Watu mbalimbali Viongozi wa Dini kutolewa na KUPUUZWA, na SERIKALI kupinga WAKURUGENZI kutosimamia CHAGUZI licha ya HUKUMU ya kwanza ya kuwazuia kutolewa.
 
Chaguzi za mmoja wa wachezaji kuchagua refa ni pasua kichwa kwa hapa Tanzania hakuna free and fair election hapa licha ya matumaini hewa wanayojazwa watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom