Dkt Samia kama emperor Commodus

Dkt Samia kama emperor Commodus

shamimuodd

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,191
Reaction score
2,119
GTs,
Kwa sisi watalaamu wachache wa historia, kama ulisoma kitabu cha utawala wa Warumi (Roman Empire), utakubaliana kuwa utawala wa Dkt Samia ni kama wa emperor Commodus. Yaani Dkt Samia toka mwanzo sisi wananchi wa kawaida tilimuuma masikio kuwa Mama kuna wanakuhujumu achana na safari za nje nenda kwa wananchi wasikilize ila Mama hakutusikia kabisa. Tukamwambia tena Mama uliowapa rungu wanakuhujumu yaani akaziba masikio. Sasa inaonekana ni dhahili Dkt Samia anatakiwa kujitokeza zaidi kwa watanzania ili wamuelewe ktk kipindi hiki kifupi. Je inawezekana kuwawahi wabaya wake?
 
Hatari
 
Kuongoza people ni kazi sana ..........watz now wapo na vipaumbele vyao
Bora kuongoza bendi ya muziki ama club ya mpira unaweza mwache msemaji wa club lakini siyo kuongoza nchi japo Rais ni taasisi. Ni muhimu kusoma majira, (situation analysis).

Kwenye ujasiriamali tunasema hivi: If you are sick the business also is sick, similarly if you travel the business will also travel yaani ukiumwa biashara pia ina umwa, ukisafiri biashara nayo inasafiri

Japo kuwa inasemekana ukitaka jambo lako lifanyike vizuri fanya mwenyewe - If you want something to be done properly do it yourself
 
Kiongozi yeyote lazima uwe na maadui ndani ya mfumo na nje. Hata marais wa US ipo hivyo, si hoja yenye nguvu kila siku kusema ana maadui ana maadui, hakuna kiongozi hana maadui..

Tuseme tu ajuza amepwaya, uongozi hawezi full stop, kuna viongozi wamezungukwa na maadui hatari na wanafanya vizuri, ndio maana ya kuwa kiongozi.

Sasa kama wewe ulidhani ukifika ikulu ni kula bata na kusafiri mabara yote pole sana
 
Back
Top Bottom