Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amemwomba Jaji Mstaafu, Joseph Warioba asiwe na chuki kwa viongozi waliopo bali awashauri kwa hekima badala ya kulalamika mtandaoni.
Akizungumza na...
Shughuli ya upigaji kura inaendelea katika Kata ya Malangali Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, ambapo wananchi wameendelea kujitokeza kupiga kura ya udiwani katika uchaguzi wa marudio...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani twitter) Kada wa CHADEMA Godbless Lema, ameandika;
"Kila chama kinachotaka kuongoza lazima kiwe mstari wa mbele katika kuhakikisha uwazi, uwajibikaji...
"Nilikataa kukatwa mguu, lakini madaktari waliniambia nimechelewa kupata matibabu." Huo ni ushuhuda wa kusikitisha wa George Chipeta (24), fundi wa umeme wa magari mkazi wa Banana, mkoani Dar es...
Wakuu,
Msikilizeni Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa anazungumza leo kuhusu suala zima la misaada. Mmenotice hajawaita mabeberu bali "wadau wa maendeleo?"
Ila najiuliza kama Tanzania tunajiweza...
Ndugu Watanzania!
Kama mtakumbuka, Rais Samia aliunda Tume ya Uchunguzi kuhusu machafuko ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Siku ya Jumamosi tarehe 17 Januari 2026, Mhashamu Baba Askofu Mwamakula...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema ushindi wa chama hicho katika uchaguzi unatokana na nguvu na mizizi iliyoanzia ngazi za chini...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kuwa tishio la watu kupigwa risasi liliwafanya mamilioni ya wananchi kubaki majumbani. Alisema kuwa takribani...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo - Bara, Isihaka Mchinjita, jana Januari 15, 2026, ameendelea na ziara yake ya kikazi kwa kukutana na Viongozi pamoja na Wajumbe wa jimbo la Tanga...
Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja
Mgongano...
Mtanzania Philipo Mwakibinga amewataka Watanzania kuwapuuza baadhi ya wanaharakati wa mitandaoni wenye nia ovu wanaoeneza uzushi kuwa Rais Samia ana migogoro ya ndani na wasaidizi wake...
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Dkt. Hellen Kijo Bisimba amesema "Kwa uzoefu wa Tanzania, serikali huwa na hofu kubwa dhidi ya maandamano na maandamano...
Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya...
Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho...
Wakuu,
Mume wake Cherry anayeitwa Mkiza amejitokeza hadharani kusema kuwa yeye na mkewe wako salama ila kwa sasa wamekimbia nchi
Anasema kuwa wamekimbia watekaji kwa zaidi ya mara 3 na hata...
Jumapili tarehe 18 Januari, 2026 Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo itakutana jijini Dar es salaam ikiwa ni kikao chake cha kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015.
Katika kikao hicho...
Watu waliouwawa Oct 29 sio wale waliochoma moto vitu, hili suala la kusingizia walichoma vitu ni la kupumbaza tu, kwanza kuchoma vitu adhabu sii kifo.
Adhabu ya kuchoma vitu adhabu sii kifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.