Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbowe Mwenyekiti wa Chama cba Demokrasia na maendeleo amesema pamoja na ubakaji wa demokrasia ambao unaendelea bado ameshangaa kwanini Mahakama inatoa maamuzi ya kukknda chama na bado Mahaka.a ya...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu, Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
RC Makonda amesema kwenye Siasa Lissu ni mdogo kwake na kwa wenye mashaka wakawaulize Mwenyekiti Mbowe na Dkt. Slaa kwanini kwenye Vikao vyao na Makonda walikuwa wanamuweka pembeni Tundu Antipas...
15 Reactions
152 Replies
8K Views
Vigogo wa CHADEMA mkoa wa Arusha wamesema ni suala la muda tu Lema atamfuafa Msigwa. Vigogo Hao wamesema kwamba Lema hufanya vikao vya siri na Makonda na Mrisho Gambo. Katika kujiandaa na hilo...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanabodi, leo kuna press conference muhimu ya Chadema。 hili ni bandiko la kitu kinachoitwa preemptive move ya kuisaidia Chadema ahead of Press Conference hii muhimu ya Mwenyekiti wa Chadema...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Rais Magufuli akihutubia mubashara kutoka Tanga, amemuita Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba na kumsifia na badae kumuita Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda na kuwataka...
30 Reactions
1K Replies
127K Views
Wakuu, Kama mnavyojua kesho kampeni za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa zinaanza kesho. Wakati napitia hizi kanuni za kampeni za Uchaguzi kuna kipengele nimekiona ambacho kama wapinzani kinaweza...
2 Reactions
9 Replies
822 Views
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo. Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu...
20 Reactions
210 Replies
13K Views
Hili wala halina ubishi kubali ukatae wanaccm walio wengi wana upeo mdogo na elimu yao ni ya kuunga unga. Mifano ni mingi kuanzia juu kabisa pale makao makuu yao kwenye like jengo lenye bendera ya...
0 Reactions
3 Replies
345 Views
Tunaomba majibu sahihi kabla hatujahama chama hiki.
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya...
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Wakuu, Baada ya kutema cheche siku ya Jumapili, Paul Makonda ameendelea kutoa matamko mbalimbali Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Makonda amesema kuwa kazi ya kuwa kiongozi ni ngumu...
1 Reactions
7 Replies
792 Views
“Naijua hali anayoipitia Tundu Lissu kwenye chama chake cha CHADEMA, sio hali nzuri kabisa, anapambana namna ya kujishikiza mahali na sehemu pekee ya kujishikiza ni kwa makonda. Jambo alilosema...
1 Reactions
6 Replies
793 Views
Hebu soma hapa kauli ya Makonda kuhusu Lissu Hata kama Watanzania ni Wajinga, lakini ndio wakubali kudanganywa kibwege namna hii? Makonda amemzidi nini Lissu kisiasa, Huyu jamaa ni Mzima kweli...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Katibu wa Itikati Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Njombe Josaya Luoga, amesema katika maeneo yote ambayo vyama rafiki havijaweka mgombea zitapigwa kura za ndio au hapana...
0 Reactions
1 Replies
323 Views
Machawa humu ndani wanasifia kila kukicha kwamba ccm ni chama imara sana, ni kwa nini wanatumia mipango myeusi myeusi kushinda chaguzi!? Maana walisema yaliyotokea 2019 hayatatokea tena. Hawa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Ninapoenda dukani kwa Shayo kununua sukari na dawa ya mbu nalipa kodi Ninapokata tiketi ya basi au treni nalipa kodi Ninaponunua LUKU nalipa kodi Ninaponunua wese la gari nalipa kodi Nikienda...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Emanuel John Nchimbi atazindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Wagombea wa CCM Mkoani Mwanza tarehe 20 Novemba ,2024 .
1 Reactions
3 Replies
574 Views
WAZIRI KOMBO AONGOZA MKUTANO WA DHARURA WA KAMATI YA MAWAZIRI WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC (SADC-Organ) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi...
0 Reactions
1 Replies
463 Views
Ndugu zangu Watanzania, Taarifa zinazoendelea kusambaa Duniani kwote ni Kuwa Rais Samia Ambaye Ndiye Rais mwanamke Pekee Barani Afrika na ambaye ndiye Nembo ya Afrika. na Kiongozi Mwenye...
4 Reactions
62 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…