Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimesikitishwa na vijana wajinga wasiojitambua walioitabiria mabaya timu yetu ya Taifa kisa tu kuna watu wananasibisha ushindi wa timu na mama Samia Rais wa nchi. Mimi si mwanachama wa chama...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Mara baada ya mama kuingia madarakani aliweka mazungira ya siasa vizuri mana kuna watu wangekufa kwa kukosa mkate wa kila siku. Ikumbukwe siasa ni ajira ila ajira hiyo jpm aliiondoa huku akijua...
2 Reactions
13 Replies
668 Views
Mshikemshike umeanza Imeelezwa kuwa wanachama takribani 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kilombero, mkoani Morogoro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa...
0 Reactions
1 Replies
481 Views
1. Kuna lawama zimekuwa zikielekezwa kwa Mbowe kukubali maridhiano. Naamini Rais Samia alikuwa na conviction kubwa kuwa na maridhino, lakini wahafidhina (conservatives) ndani ya chama chake...
14 Reactions
34 Replies
2K Views
Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi...
1 Reactions
10 Replies
790 Views
Wazee na Viongozi wa Dini Wilayani Ikungi Mkoani Singida wamekutana Kujadili na Kuombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa Kufanyika Mapema wiki Ijayo ili Ufanyike wa Amani na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Jeshi la polisi Halmashauri ya mji Makambako,limesema kuwa limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha chote cha kampeni ili vyama vyote vya kisiasa vifanye kampeni...
1 Reactions
2 Replies
473 Views
Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu. Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakazi wa Longido wamepatiwa elimu ya mpiga kura ili kuepuka makosa wakati wa uchaguzi. Mkuu wa Polisi Jamii Wilaya ya Longido, ASP Tausi Mbalamwezi, amesema elimu hiyo inalenga kuwapa wananchi...
1 Reactions
1 Replies
330 Views
LATRA (Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini) na vyama vya kutetea abiria vina jukumu kubwa katika kuhakikisha kwamba usafiri wa abiria na mizigo unakuwa wa haki, nafuu, na unaozingatia maslahi...
0 Reactions
1 Replies
363 Views
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia...
0 Reactions
3 Replies
449 Views
Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje. Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Halmashauri ya mji wa Njombe imekiri kuweka sawa mazingira ya uchaguzi wa serikali za mitaa hadi kwa makundi maalumu ili yaweze kushiriki kikamilifu katika mchakato mzima wa uchaguzi unaotarajiwa...
0 Reactions
0 Replies
312 Views
Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga...
16 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakuu, Mimi sikuwa mzuri wa somo la hisabati wakati nasoma, pengine mnaweza mkaja na calculator tuje tupige hesabu. Wakati naperuzi huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Mkurugenzi...
3 Reactions
8 Replies
863 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote za vijiji...
3 Reactions
59 Replies
3K Views
Taarifa ikufikie Popote Ulipo kwamba, Mwenyekiti wa Chadema, Mwamba Kabisa, Freeman Mbowe, Atazungumza na Dunia kupitia kwa Waandishi Wote wa Habari Duniani. Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa...
12 Reactions
85 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali kauli ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya mji wa Njombe, Kuruthum Sadick amesema kuwa kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mpaka siku ya uchaguzi hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la...
0 Reactions
3 Replies
373 Views
Itakumbukwa kuwa IGP Simon Siro alisema polisi wameshindwa kuendelea na uchunguzi wa kisa cha Tundu Lissu kupigwa risasi kwa sababu hakuwepo Tanzania. Lakini hata baada ya Lissu kurejea nchini...
30 Reactions
124 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…