Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

- Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu. - Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao. - Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa. Asanteni kwa kunisikiliza...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Wanasiasa wengi hawaelewi hii dhana ndio sababu mara kwa mara tunapoteana Ukitaka kuuelewa huu Utatu wa Mihimili ya Amani msikilize kwa makini CDF mstaafu General Mabeyo akielezea Siku za Mwisho...
0 Reactions
3 Replies
240 Views
Ukimsikia Raisi anaongea kule Geita unaweza dhania ni eneo lenya maisha ya juu kabisa kwa Raia ila ukweli kuna umasikini mkubwa sana kwa raia pale Geita, nenda huko Geita Vijijini kwa Msukuma...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Kuna wakati Uganda walimchukua Prof Lipumba akawasaidie kuimarisha uchumi wako, then wakamchukua Balthazar Mwenda kwenda kuimarisha Mifumo yao ya Kodi Wakati Ule Tanzania ilisheheni wasomi wa...
14 Reactions
60 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu akizungumza na Waandishi wa habari amesema kwamba Wananchi wenyewe ndio walioshauri serikali iweke Tozo ili kupanua wigo wa mapato , na kwamba ilichofanya serikali ni...
5 Reactions
152 Replies
8K Views
Ni aibu na fedheha mikataba imesainiwa mbele ya vyombo vya habari, mpk leo hakuna mkandarasi yuko eneo lolote kati ya hizi 8. Ni utapeli, ni uwongo, tuliletewa matapeli, Samia tuachie nchi yetu...
4 Reactions
6 Replies
549 Views
Leo nipo na furaha sana wakuu jf , amani ya Bwana ikawe juu yenu. Rejea mada tajwa hapo juu Mzee wangu Jaji na Waziri mkuu mstaafu mzee Warioba amani ya Bwana ikawe juu yako. Mzee wangu kama...
4 Reactions
8 Replies
767 Views
Sisi ndio tutakaoteseka kama mambo yataendelea kama yanavyoendelea sasa hapa nchini. Kwa kweli tumerudi nyuma mno kwenye masuala ya uongozi na usimamizi wa utendaji wa watumishi wa serikali na...
1 Reactions
6 Replies
523 Views
Jana usiku nimempigia Mzee mmoja mstaafu wa serikali aliyewahi kuhudumu kama msaidizi wa mambo ya ulinzi na usalama wakati wa Rais Julius Kambarage Nyerere. Nimemlalamikia namna serikali ya CCM...
19 Reactions
41 Replies
3K Views
Kuna kufikiri ambako nakuona hakupo sawa ndani ya CCM, kuanzia raisi Samia kama mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Spika wa Bunge, mawaziri, wakuu wa mikoa nk, yaani uongozi wote wa nchi ulio...
4 Reactions
21 Replies
957 Views
Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa! 1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? 2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani? 3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Unaeyesoma hapa waweza usinielewe Wewe Afisa wa TRA uliyekufa kwenye shambulizi la wananchi waliokuhisi kuwa mtekaji hongera umevuna ulichopanda na kama Kuna dhambi ulizofanya enzi za uhai wako...
17 Reactions
37 Replies
2K Views
Mimi nilimsoma Sokoine nikiwa darasa la nne 2005 kwenye jaridi ambalo lilisheni picha za uongozi, ajali na mazishi yake na naamini hapa wengi mtaniunga mkono kama mlilisoma. Hadithi zake...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Kutokana na umri wao, uzoefu wao, na majukumu ya kitaifa waliyowahi kuwa nayo nchini, baadhi ya wastaafu wa kisiasa wana hadhi ya kutambulika kama wazee wa Taifa! Lakini kwa miaka ya hivi...
34 Reactions
83 Replies
5K Views
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu...
24 Reactions
106 Replies
7K Views
Nipende kusema kuwa Tanzania imebarikiwa kuwa na vipaji vya watu wa kipekee wenye kuasisi mambo mengi ambayo baadaye huchukuliwa na watu wengine duniani na kuwa sehemu ya ufanisi wa matarajio ya...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Je, wajua kwamba Chadema kwenye kanzi data yao ina wanachama wasiozidi 450,000 nchi nzima. Hivyo, ukitazama ndani ya miaka 32 ya kufanya siasa nchini CHADEMA inasajili wanachama 14,062 tu kwa...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Ingetokea Leo kibaka YOYOTE mzoefu popote ulipo akakwapua simu ya mtendaji wa kata Leo angepiga bingooooo. Leo ndo Leo wale wote walioshiriki kusimamia uchaguzi wa serikali ya MTAA ULIO ipa ccm...
0 Reactions
4 Replies
607 Views
Salaam, Shalom! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania...
26 Reactions
217 Replies
9K Views
Wakuu, Najiuliza hivi nu kwamba wananchi wamewachoka viongozi wa serikali au wameichoka serikali maana yanayotokea kwa sasa ningekuwa kaka Luka ningebubujikwa na machozi. Yani imefikia kipindi...
10 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…