Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

" Kuna lugha ukianza kuongea tunajua huyu mbona sio mwenzetu, Chadema tunajuana". " Kuna wengine wanasema liwalo na liwe tupasue mtumbwi tugawane mbao " "Ukianza kuongea mambo yetu ya ndani kwa...
4 Reactions
59 Replies
3K Views
Wanachama wa CCM ndiyo ilikuwa silaha ya ushindi kwa chama chao. Mh lakini ukitupia kwa jicho la tatu je ni kweli wanachama pekee yao au kuna namna ilifanyika tangu mwazoni? ==================...
0 Reactions
2 Replies
438 Views
Najaribu kuwaza pia Mtu ambaye anashawishiwa na M/K "at individual capacity" kwa ahadi ya kutafutiwa kazi Nje ya Nchi, ili aachane na maamuzi yake, akikubali kufanya hivyo, uhuru wake utakuwaje...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Uraisi wake usingepita njia tofauti na ulikopita uenyekiti wa chama. Katiba ingebadilishiwa gear angani ili kumruhusu kufanya ambayo angeyataka. Bila shaka hadi leo angekuwa ndiye Rais kwa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakuu, Siku ya jana akiwa anazungumza kwenye mdahalo ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Boniface Mwabukusi amedokeza kuwa yuko mbioni kufungua kesi dhidi ya vyama 14 vya...
1 Reactions
10 Replies
867 Views
Courtesy: SK Media Online TV Saga la Tundu Lissu kutangaza nia kugombea nafasi ya uenyekiti CHADEMA (T) ili kumrithi mwenyekiti wa sasa Mh. Freeman Mbowe linaendelea kuzua mjadala ndani na nje ya...
0 Reactions
9 Replies
799 Views
Habari jf , baada ya mwaka 2022 Mbatia kusimamishwa NCCR MAGEUZI , May 2024 mahakama ilimsafisha na kuamuru Selasini amlipe milioni 80 Mbatia kwa kumchafua . Vivyo hivyo kwa Dr slaa , mazingira...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Ulipoongea na waandshi wa Habari ulisema hizi ni Drama tu na kifo ni kitu cha kawaida. Ni kweli kifo ni kitu cha kawaida sana kama hayajakukuta. Swali langu kwako mama ni hili," Ni nani atekwe...
4 Reactions
6 Replies
612 Views
Kesho saa 5 asubuhi, katibu wa CDM atakua na press kikubwa atachozungumzia ni kutangaza tarehe ya uchaguzi na mambo yanayohusiana na uchaguzi wa ndani ya CDM. Watia nia wote nishapata pdf yake...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Russia's top missile expert gunned down in Moscow park Mikhail Shatsky, who is said to have overseen the modernisation of Kh-59 and Kh-69 missiles used by Russia against Ukraine, was reportedly...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi...
20 Reactions
160 Replies
6K Views
Habari wanajamii. Tangu Lissu atangaze Nia ya kugombea uenyekiti kumetokea kelele za kila aina. Mara ni kirusi ndani ya CHADEMA, mara anafadhiliwa na Msigwa, mara anampango wa kuhamia CCM nk...
11 Reactions
70 Replies
3K Views
Je hii ni haki? Ni sahihi wafungwa kukodishwa wakalime MASHAMBA ya vigogo wa nchi hii?je MALIPo wanayokodishiwa kama ng'ombe wa KULIMia mnayapokeaje? Ni mapato au? Je yule mfungwa alie fia...
1 Reactions
4 Replies
465 Views
Kuelekea kuanza kwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura Mkoani Iringa imeelezwa kuwa kuna vituo vipya vipatavyo 140 vimeongezwa. Taarifa iliyotolewa leo Desemba 15, 2024 na...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa. Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani...
1 Reactions
12 Replies
698 Views
Nizahiri sasa Tindu Lisu amejipanga na wafuasi wake wanaomuunga mkono iwe jua iwe mvua ni lazima agombee na awe mwenyekiti wa CHADEMA Pia mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Freeman Mbowe naye...
2 Reactions
37 Replies
1K Views
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed...
0 Reactions
2 Replies
503 Views
Mwenyekiti wa wakati wote na wakudumu wa Chama kikuu Cha Upinzani nchini Tanzania Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Aikael Mbowe huenda akang'atuka kwenye nafasi hiyo ya ngazi ya...
21 Reactions
171 Replies
10K Views
Kampeni za Vyama vingine kumtaka Mbowe aendelee na Uongozi zilianza kitambo sana Jaribu kufikiria Chadema hii yenye Watu kibao eti ni Mbowe na bintiye Nicole pekee ndio walifanikiwa kuvuka...
13 Reactions
43 Replies
2K Views
Tundu antipasi Lisu amekuwa mwiba na mkali kweli kweli kwenye siasa za Tanzania Ukali wake huo mpaka rais wa nchi mama Samia Suluhu Hassani akaamuru SIMBA mmoja machachari mbugani kuitwa jina la...
3 Reactions
9 Replies
731 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…