LISU ATARUDISHA ITIKADI/IMANI YA WATU KWA CHADEMA. CHADEMA MPENI UENYEKITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watanzania ni watu ambao huwaamini kama wanaweza kuishi bila kuonewa. Bila...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Wakuu kuna mambo mengine yanashangaza sana, kiasi ya kwamba sometimes mtu unajiuliza kwamba haya mambo yanayotokea huwa yanakuja tu yenyewe au kuna mtu/watu...
Kanuni ya maisha matendo huzingatiwa kuliko maneno ,mfano hai mkataza watu ulevi akiwa ni mlevi hakuna atakaye msikiliza wala kumuelewa.
Kilipofikia chama cha CHADEMA makundi na uhalisia wa mambo...
Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia...
Ukiangalia na kuchunguza kisa kizima cha kuzaliwa Yesu, unamshangaa yeye, mama yake, baba yake hata Mungu wake. Eti bikra alipata mimba kwa roho mtakatifu! Hii maana yake nini wakati tunaambiwa...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amepongeza jitihada za maendeleo zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa...
Kwanza hongera Sana Mh Mbowe
Pia hongera Kwa uongozi wako wa miaka 20 Kama mwenyekiti wa chadema na miaka 15 Kama Mbunge.
Swala la wewe kuwa mwenyekiti wa hicho chama hautaweza na ukilazimisha...
Ukiona adui Yako anafwatilia mambo Yako ya ndani jua anakuogopa na pia ukiona anachochea migogoro dhidi Yako ujue uko IMARA kuliko yeye. CHADEMA hakuna MPASUKO kama wengi wanavyodhani hizo ni...
Sijajua baada ya Kauli hii ya Freeman Mbowe yule Yeriko Mengele, Boni Yai na Ntobi wataficha wapi Sura zao
Mbowe amesema Katika Kipindi chake Cha Uongozi kilichobaki atasimamia nidhamu Ili...
Naona Polisi lipo na kasi ya 5G kuwakamata watuhumiwa waliofanya makosa kwa viongozi wa CCM ila upande wa vyama vingine uchunguzi unachukua muda mrefu sana.
Kwani kuna siri gani kwenye chunguzi...
Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo...
Wakuu,
Najua mtakuja na motoo kuwashukia askari kuhusu utekaji na mazonge yao mengine, hayo tuyaweke pembeni, hayahusiki kwenye muktadha huu. Hata kama kati yao wapo washenzi (ashakum) naamini...
Kiukweli Moja ya jambo limenifurahisha ni hili la Rais kukubali Dira ya Taifa Kujadiliwa Bungeni na kuidhinishwa na Bunge Ili kuipa Nguvu ya kisheria na uhalali wa utekelezaji wake tofauti na Dira...
Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa...
Boniface Jacob Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani;
"CHADEMA ni Taasisi imara ambayo imejikamilisha, (mimi) CHADEMA ilivyokubwa mpaka naiogopa, nikiwa na jambo langu naenda kuongea kwa mke...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amemwangukia Rais Samia na kumwomba aangalie Kwanini Utekaji ni kwa Wenyeji wa Mkoa wa Kilimanjaro tu?!
Lema ametuma Maombi yake Ukurasani X
KUWENI BARAKA, SIO KITUNGUU KUWATOA MACHOZI WENGINE - DKT. BITEKO
- Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- Magomeni
-Ataka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizana
-...