Zambia, Hakainde Hichilema amekuwa Rais wa chama cha UPND kwa miaka 18
Kenya, Raila Odinga amekuwa Kiongozi mkuu wa ODM kwa miaka 20, ameachia uongozi kugombea nafasi ya uongozi AU. Uhuru Kenyata...
Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .
Tabia hii ni...
Kutokana na maneno aliyoyasema mbowe akiwa nawaandishi wa habari nyumbani kwake Jana tarehe 18.12.2024 imejidhihirisha kuwa CHADEMA NI Mali ya mbowe maana kwa kinywa chake na nukuu" CHAMA CHANGU...
Chama changu cha Mapinduzi
Tukitaka kuendelea kuongoza nchi tubadili mbinu
Hakikisha hatuweki mtu anayetumia nguvu kubwa kijibrand badala ya kazi kumbrand, kuna Vijana ambao kwakweli tuwe wakweli...
Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda Tabora, Ujiji, Zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze...
Ni kuhusu madai ya Mdee na wenzake kurejea CHADEMA ambapo Boniface Jacob kuptia Mtandao wa X, kaandika hivi:
SIYO RAHISI NA HAIWEZEKANI KUWA JAMBO LA SIRI...!
Nimeona mjadala wa kuhusu kurejea...
Sikuelewa Mbowe ana maana gani aliposema atautazama mwenendo wa kampeni kabla ya kuamua kugombea uenyekiti.
Lakini sasa hivi kinachosubiriwa ni Mbowe tu aseme ameamua nini.
Kwa jinsi ilivyo sasa...
Freeman Mbowe ni mwanachadema wa chadema kama walivyo wanachama wengine, yeye haimiliki Chadema kwa sababu chama Cha Siasa ni taasisi ya Umma
Tunakumbushana tu
Ahsanteni Sana 😃
Mbowe anaweza kulaumiwa kwa mambo yote lakini jambo moja kubwa ambalo hawezi kulaumiwa nalo ni kung'ang'ania au kukaa madarakani muda mrefu. Lissu mwenyewe ambaye ndiye mpinzani mkuu wa Mbowe...
Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT Wazalendo.
Labda CHADEMA wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani...
Kama unabisha jibidiishe kufahamu maaskofu wa Anglican church na KKKT wanavyochaguliwa
Kisha fuatilia vizuri sana uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unaendelea
Kisha tuletee mifanano yake na...
Kuna habari inavuma mitandaoni kwamba Lissu amepanga kufukuza viongozi wote wa kanda, mikoa, na wilaya, pamoja na wajumbe wa mkutano mkuu kwa sababu ni team Mbowe.
Hizi habari ni za kweli?
Je...
Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana...
Ndugu zangu Watanzania,
Hifadhini sana huu uzi,shikeni sana haya maneno yangu,kaeni na hili andiko katika kumbukumbu zenu,kaeni na jiandaeni kwa jambo hilo na tambueni ya kuwa Baada ya uchaguzi...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh Godbless Lema Leo anastaafu rasmi
Lema amewashukuru Wananchi wote Kwa ushirikiano waliompa wakati wote na kipekee Kabisa amemshukuru Katibu wa Kanda...
MBOWE KATAA MTEGO HUU WA KUOMBWA KUENDELEA KUWA MWENYEKITI.
Mwl. Nyerere kila alipotaka kung'atuka wapambe waliandamana kumtaka aendelee wakimwambia Nchi hii changa bila wewe tutakwama, Bila wewe...
Nauliza tu katika mifumo ya Maadili ya Viongozi hii inakubalika?
Naelewa Jaji amewapiga marufuku Mbowe na Mnyika kuhudhuria kikao cha Baraza Kuu la Chadema kusikiliza Rufaa za akina Halima Mdee...
Wengine hapa nchini hatuna majina lakini tuna macho ya rohoni (third eye) .
Tangu nipate akili timamu za kiutu uzima na kujitegemea Mimi sijawahi kuwa mdau wa CCM. Nina kadi ya CCM na CHADEMA...
Kuna nyakati watu wengi walikuwa wakisema mbowe ni wakala wa ccm mda mrefu watu wengi walibisha hususani machawa wake ambao kwa sasa ndoo wanaompigania kugombea tena kiti cha mwenyekiti wa chama...
Mwanahabari mkongwe na Mchambuzi wa siasa Absalom Kibanda amekosoa maamuzi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake 18.
“Ni kweli Mdee na wenzake...