Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Hawa wafuasi wakereketwa walioenda kwa FAM leo, ile Siku aliyoitisha maamdamano walikua wapi?
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu. Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm Tumechoka upinzani fake tunamtaka...
3 Reactions
9 Replies
438 Views
Huyu utamwaminije? Msikilize hapa Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwa Sasa inavyoonekana hapo CHADEMA ni kwamba chama ni Mali ya mtu. Na yeyoyote atakaye taka kuwa mwenyekiti wa chama nje ya Mbowe lazima apopolewe mawe na kuitwa majina yote. Kwamba CHADEMA kipo...
1 Reactions
0 Replies
269 Views
Fuko la Abdul kila lilikopita mitaa ya Chadema lilipokelewa kwa mikono miwili isipokuwa kwa gwiji la upinzani Afrika. Lissu ndio mtanzania pekee hapo Chadema aliletewa mfuko umejaa mamilioni kama...
1 Reactions
3 Replies
339 Views
Raisi Mstaafu Kikwete kapoteza sana umashuhuri sababu ya ubinafsi. Yeye ndiyo angetakiwa kuwa wa kwanza kukemea chaguzi mbovu badala yake yeye anajali Ikulu aliyo jengewa, mke wake mbunge na...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya wadau kudai kuwa Msigwa ndio alimlipia Lissu ile hela ya yeye kufanya press yake ya Mlimani City, Lissu amejitokeza kupiga uzushi huo Siku ya leo akiwa anatoka kurudisha fomu ya...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Mh. Msajiri wa Mahakama kuu ya Morogoro, napenda kukutaarifu kuwa katika mahakama ya Mwanzo Nunge kuna Rushwa iliyokithiri. Mahakimu wengi hapo ni changamoto sana kwa wananchi ambao ni wateja wa...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Ninaamini una uwezo na msikivu. Mtego wako mkubwa katika sekta ya afya uko kwenye kusimamia MTBA (NHIF). Fanya haya utakuja nishukuru baadaye:- 1. Tehama haijawekwa vizuri - ili ku-control madai...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Kipindi cha miaka 20 ni kipindi kirefu sana kwa kwa maisha ya binadamu yaani mtoto akizaliwa kufikia kipindi hicho wengine huwa wanajitegemea kabisa. Jambo hili humaanisha kwamba tuna kizazi...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu, aliyokuwa anayasema Lissu sasa tunaanza. kuyaona wazi wazi na hivyo ni swala la muda tu kabla Lissu hamjamuumbua Mbowe.
14 Reactions
78 Replies
4K Views
Wasalaam Naona huyu kiongozi ameshindwa kuwalinda wanachama wa chadema amekua mpole mno na ni kama anatekeleza maagizo flani flani kutoka ccm ni kama kibaraka wa ccm. Maana haiwezekani wanachama...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakenya wameendeleza hujuma zao na kutafuta visingizio pale wanaposhindwa kudhibiti mambo. Awamu hii wamesingizia kwamba hililafu zilizotokea Tanzania zilipelekea kuzimika Kwa Gridi Yao ya Taifa...
0 Reactions
3 Replies
315 Views
Usiku mmoja nilipata ndoto ya ajabu ,katika ndoto hiyo nilimuona mzee mmoja maarufu akiwa ni makamu wa Chama fulani. Baadaye nikasikia minong'ono kwa sauti ya chini sana sikufanikiwa kusikia kila...
1 Reactions
1 Replies
326 Views
Nimepita mitaa ya Lumumba, watu wanakuna vitambi tu huku wakipapasa vioo vyao vya simu kusoma jinsi watu wa Chadema wanavyovurumishiana matusi, kutupiana makopo, chupa na uchafu. Sasa inaangaliwa...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Wasalaam Nimekua nashangaa sana kila kukicha viongozi wengi wa ccm wanataka mbowe awe mwenyekiti wa chadema wa kudumu. Najiuliza tu huu ni upendo wa dhati au ni mahaba? Je huenda ni kweli zile...
4 Reactions
8 Replies
743 Views
Mbowe aliahidi kuwa mwaka 2023 ungekuwa mwaka wake wa mwisho kuiongoza CHADEMA kama mwenyekiti wa chama. Wengi kama si wote, tuliunga mkono uamuzi wake huo maana kuwa kiongozi haimaanishi kukaa...
5 Reactions
5 Replies
469 Views
Haina Ubishi kwamba huyu kijana angebaki Nchini Tanzania angeuawa, hili kila mwenye akili timamu anafahamu. Sitaki kurejea yote yanayojulikana juu yake. Bali nachukua nafasi hii kuwashukuru watu...
53 Reactions
87 Replies
6K Views
John Heche kwenye ukurasa wake wa Twitter ame- repost ujumbe wa David Mfugwa wa Chadema ambao unamtaka Mbowe kustaafu kwa heshima na kulinda heshima yake ndani ya Chadema. Hii ina maana kuwa hata...
14 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom