1. Ahadi ya Kwanza ilikuwa ni Ikifika July 2024, manunuzi ya luku yatakuwa automated yaani ukinunua umeme hutokuwa na haja ya kuingiza token……zitaingia directly to your meter device
Hapa...
Ni Katika kuwekana Sawa tu
Mahakama kama Muhimili mkuu wa kutoa HAKI nchini ndio umemwachia huru George Sanga
Wengi wanafananishwa kuachiwa Kwa Mbowe Kwenye Kesi ya ugaidi na mahakama kuu...
Aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA katika Bunge la 11 ( 2015-2020) Mhe Marwa Ryoba Chacha amesema Ezekiah Wenje ni kiongozi muongo muongo sana.
Michango yao kama wabunge kwenda kwenye chama ilikatwa...
Huyu mtu bwana hana shukrani,
Yeye mwenyewe kwa kinywa chake aliwahi kukiri kuwa yeye na Magufuli waliwahi kuwa marafiki wazuri tu siku za huko nyuma na kuna majina yao ya utani nimeyasahau...
Dkt. Slaa ni mwana CCM, aliwasambaratisha chadema kwa kuwakimbia wakati UKAWA wakikaribia sana kuikamata nchi. Slaa akapelekwa hotelini Rwanda akapewa mabinti wa kihima, baadae ubalozi. Leo Dk...
Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Najikita moja kwa moja kwenye mada husika. Naiomba serikali iboreshe mfumo wa ukataji tiketi kwenye tren yetu ya mwendokasi SGR. Nalisema...
Makamu Mwenyekiti wa chadema Mh Tundu Lisu anesema ni vigumu sana kuwaelezea mafanikio ya maridhiano ndugu wa Mzee Kibao, baba yake Chaula au Bibi yake Deus Soka
Lisu amehoji au Kuna namna Watu...
Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda, mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao, kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa.
Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote...
Chadema ina wanachama Laki 4 Tanzania nzima wameshindwa kuchangishana elfu kumi kumi Ili mkutano ufanyike?
Tukubali tu Ukweli Chadema ni Mali Binafsi ya Mbowe kama lilivyo Gazeti la Tanzania...
Ndugu zangu Watanzania,
Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera...
Naona sasa mwaka wa Uchaguzi umewadia na mambo yamekuwa mengi kweli kweli.
Wanasiasa wengine wanaenda kutafuta malisho ya kijana kibichi
===================
Wanachama 18 wa Chama cha Demokrasia...
KADA wa CCM mchungaji Msigwa hivi karibuni atazungumza na Waandishi wa Habari kutolea ufafanuzi uwongo mwingi aliozungumza Mwenyekiti wa chadema Kanda ya Victoria Mh Wenje
Taarifa Ukurasani X...
Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye...
Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa;
Nimeiangalia GAME Kwa Upana Wake NA Kuangalia Kipato Cha Msanii Mmoja Mmoja Nimegundua Vitu Vitatu ..!
1 MZIKI HAUNA NGUVU YA KUKAA...
Hivi kweli Kuna mtanzania hata Mmoja ANAE mwamini Dr Slaa na Tundu Lissu kwenye ungano lao la kumg'oa Mbowe chadema linatija kwa Taifa?
Kama kweli mpo nawaweka madhabauni kwa bwana Mungu...
HISTORIA YA MKOA WA TANGA
Mkoa wa Tanga ni moja kati ya mikoa 31wenye eneo la 27,348 km² na upo Kaskazini Mashariki mwa Tanzania ukipakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari Hindi upande wa...