Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamii Forums imekuwa nguzo muhimu katika jamii, hiyo ni kutokana na kuwezesha Serikali na mamlaka nyingine mbalimbali kutatua changamoto zinazowasilishwa na sisi Wananchi. Kuna daraja liko...
1 Reactions
0 Replies
584 Views
Hapa JF, uependeleo na ubaguzi unalaaniwa kwa nguvu zote. Kwa vyama vya upinzani, uwanja wa Chato unatumika kama ishara ya upendeleo usiotakiwa. Hakika upendeleo ni mbaya. Tuambizane ukweli...
45 Reactions
236 Replies
27K Views
Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe. Paul...
30 Reactions
95 Replies
6K Views
John Heche akiongea na Waandishi wa habari leo Januari 05, 2024 amesema Tundu Lissu anayewania nafasi ya Uenyekiti ndani ya CHADEMA hajakivua nguo chama hicho bali anawataja wala rushwa walio...
15 Reactions
37 Replies
2K Views
Kama Mbowe peke yake aliweza kumkata Dr Slaa na kumleta mzee Lowassa kugombea Urais Chadema mnafanya Uchaguzi Ili iweje? Kama Mbowe peke yake alienda kwenye Maridhiano na CCM ni nani mwingine...
0 Reactions
1 Replies
393 Views
Viongozi wakuu wa kisiasa nchini Tanzania, ukiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni vyema kutafakari kwa kina kuhusu urithi wa uongozi wenu kwa taifa hili. Siku ya ukomo wa uongozi...
0 Reactions
2 Replies
387 Views
Heri ya Krismas. Ikulu kuu ya Taifa ya Chamwino iliyopo Dodoma ni Ikulu namba moja duniani kuwa na eneo kubwa sana la Aridhi. Sijasema ni Ikulu kubwa bali ndiyo namba moja kuwa na aridhi kubwa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani? Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye...
10 Reactions
57 Replies
4K Views
Wakati maalim seif aliposhindwa vita vya kisiasa na Lpumba alitumia msemo huu, "shusha Tanga, pandisha Tanga" "ulipo tupo" Hili alifanikiwa na kumwachia jengo tupu Lipumba. Leo Zanzibar yote cuf...
13 Reactions
87 Replies
4K Views
Kila mtu anahaki kupenda anachotaka. Wazungu wamesema Everyone has the right to love what they want. Lkn kitendo cha kujitosa mzima mzima tena kwa nguvu sana ktk uchaguzi wa chadema kipindi hichi...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Huo ndio Ukweli' Bila Freeman Mbowe Chadema lazima ianze kutembeza Kikapu cha Sadaka kama enzi za Padre Slaa Na bila Tundu Lissu Chadema hainaga Wapiga Kura Kabisa yaani October itabidi wamtafute...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakuu Wananchi wakasirika wamvaa Mbunge wao Mrisho Gambo mkutanoni "Unatuangusha, sisi tunakufa"
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Nawaza tu maana sikumbuki uchaguzi ambao Freeman Mbowe aliwahi Kushinda kiushindani Kwenye Chaguzi za Ndani Hata tulipokuwa Bavicha aliteuliwa tu na Mzee Shanga kuwa Mwenyekiti wa Bavicha Taifa...
2 Reactions
4 Replies
450 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC- Organ), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
4 Replies
500 Views
Kwenye historia ya vita na mahusiano ya kimataifa, kuna nadharia inaitwa “Thucydides Trap” ambayo utumika kuelezea ulazima wa kutokea mgogoro au vita endapo taifa linalochipukia linapotishia...
12 Reactions
54 Replies
5K Views
Wakuu, Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani? Naona Wenye anatumia nguvu nyingi...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Mnyika alikuwa mtu wa kwanza kutangaza kutekwa kwa Mohamed Kibao ndani ya Dk kumi kama tangu kutekwa pale tegeta na kuelezea kwa undani sani tukio zima as if ni jambo alilolijua muda mrefu hadi...
2 Reactions
15 Replies
870 Views
Mwenge wa uhuru tunaambiwa kwamba unaleta amani pasipo na amani, unaleta tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki. Tanzania tumekuwa tukitumia mabilioni ya fedha za walipa Kodi kugharamia...
9 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu salamu! Kwenye Ulimwengu huu unaobadilika ni vigumu sana kupanga mpango na ukaenda vyema kama ulivyotarajia.Nchi nyingi kubwa zenye taasisi serious za kiusalama hazijawah kuwa 100% correct...
1 Reactions
3 Replies
405 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…