Wakuu
Yericko Nyerere ameandika;
Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi...
Tetesi zinatabanaisha, baada ya kukaa Zanzibar nyumbani kwao kwa muda mrefu Samia anatarajiwa kufanya ziara kwenye Nchi tajwa hapo juu.
Wenye wenu wivu mjinyonge.
Leo hii, kama upo ndani ya CCM, na una sifa zote, lakini ukachukua fomu kumchallenge Samia kwenye nafasi ya Urais au Umwenyekiti wa CCM, huo utakuwa ndiyo mwisho wako kisiasa ndani ya CCM.
Leo...
Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa...
Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU...
Wasalaam
Inashangaza sana kuona mtu mzima bwana Mbowe anatumia nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla...
1. Imekua kawaida Watanzania kwenda kutibiwa India kwa Kodi za wavuja jasho.
2. Hizi gharama CAG anaweza kuzikagua? Maana tunapanda nao Emirates wao wakitanua Business class na wasindikizaji huku...
Mzee Freeman Aikael Mbowe amekuwa mwenyekiti wa chama kwa miaka 21 bila ya uwepo wa ushindani kwenye nafasi yake. Na walionyesha jaribio la kutaka nafasi yake walitimuliwa kwenye chama kwa...
Rais Magufuli leo atekeleza agizo la Mkuu wa mkoa la kuwasilisha silaha jeshi la Polisi kwa ajili ya ukaguzi.
Amewataka wananchi wote wanaomiliki silaha katika jiji la Dar kujitokeza kuhakiki...
Mbowe yuko sahihi Kwa sababu yuko madarakani Kwa mujibu wa Katiba ya Chadema wala hajatumia nguvu kubaki madarakani.
Kama 90% ya wanachadema ni mbumbumbu wasioweza kujiongoza ni Sahihi kabisa...
Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa...
Nimesoma kitabu chake. Nimecheka sana. sana. na nika conclude mwaka huu jamaa agombee tu Urais.
Jamaa ana mambo ambayo yanafaa kabisa kuwaongoza Watanzania. Nashauri mwaka huu tusifanye makosa...
Januari 5, 2011 haitakaa isahaulike kwa wapenda demokrasia wote duniani kwa kilichotokea Arusha. Maandamano ya CHADEMA yalizimwa kwa nguvu kubwa na jeshi la polisi hadi kutokea maafa ya watu...
Desemba 17, 2017
Mh. Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini(CHADEMA) amesema kuna watu wanampigiapigia simu na kutaka kumshawishi ahamie chama cha mapinduzi (CCM).
Amesema watu hao wanampigia...
Kampuni tanzu ya Barrick Gold Corp. inasema inapoteza mamilioni ya dola kutokana na “uvamizi haramu na hatari” unaofanywa na wakazi wa vijiji wa Tanzania, ambao mara nyingi huwa na silaha kama...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewasisitiza Watumishi wa Umma na Watanzania wote waliojiandikisha kupiga kura...
Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina? Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi?
Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji...
Akizungumza kupitia Clouds TV, Yericko Nyerere amesema:
"Kwa mujibu wa muongozo wa CHADEMA toleo la 2012 mgombea Lissu si hilo la rushwa ambalo linatafsirika amevunja muongozo, yako mengi zaidi...
Mbowe alidhani akitumia ile Mbinu yake ya kidalali ya kubadilisha GIA angani na kumleta Wenje agombee umakamu Mwenyekiti Ili Tundu Lisu akimbie chama kama alivyokimbia Dr Slaa 2015 baada ya...