Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tuwe Wakweli kinachoendelea Chadema ndio ukomavu wa Demokrasia Ingekuwa ni wale Mbogamboga ungesikia Lisu ameshakatwa eti alianza kampeni mapema lakini Kamilius akaachwa 😂😂😂 Chadema wakimaliza...
8 Reactions
17 Replies
733 Views
Nakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na...
45 Reactions
215 Replies
17K Views
Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Wenye hekima, wale wa juu juu, wasiofahamu chadema kwa kina, chawa wa mitandaoni, nadhani wamepata ufunuo hasa kwa undani juu ya kwa nini mbowe anastahili kuendelea kuwa mwenyekiti, kuna wakati...
4 Reactions
55 Replies
3K Views
Askofu Mwamakula, ni vizuri kujua kuhusu kanisa lako, wachungaji, na waumini wako. Hapa kuna maswali kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuelewa vizuri zaidi kuhusu kanisa lako. Kanisa Lako Liko...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani...
27 Reactions
372 Replies
16K Views
20+ Years Freeman Mbowe ameshindwa kuitoa CCM madarakani. Ameshindwa kulinda kura za Watanzania. Ameshindwa kuweka mashinikizo chanya juu ya chaguzi huru na haki. Ameshindwa kuwatengenezea viti...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu. Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai...
8 Reactions
54 Replies
5K Views
It is useless and sarcastic to be "chawa" in a poor country like yours, a kenyan friend told me, so guys let's stop this behaviour, be chawa of your own achievement!
1 Reactions
7 Replies
467 Views
“Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabey ---------- Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen...
13 Reactions
429 Replies
45K Views
Kamanda yupo imara yuko fiti kwa mapambano..... Nikisemaa mboweeeeee..........unajibu , mitano teeenaaaaaaaa 5tenaaaaaaaaaaaaaaa. Bila Mbowe hakuna Chadema Imara. Hatuwezi kukabidhi chama kwa...
5 Reactions
19 Replies
708 Views
Bunge la Job Ndugai Bunge la Anne Makinda Bunge la Samweli Sitta Bunge la Pius Msekwa. Bunge la Tulia Akson Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu...
0 Reactions
6 Replies
445 Views
NEW UPDATE - ALHAMISI, 15/12/2016 Taarifa mpya ni kwamba, Mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo mpaka muda huu bado anashikiliwa na polisi na hajafikishwa Mahakamani kama sheria inavyotaka...
131 Reactions
1K Replies
203K Views
Sammy Awami mwandishi nguli wa BBC amepiga hodi Nyumbani Kwa Freeman Mbowe Kwa mahojiano Sammy Awami ameshamuhoji Tundu Lissu ambaye alisema Kwa Miaka 21 Mbowe ameshindwa kushinda hata Kijiji...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Tundu Lissu amewataja baadhi ya viongozi na Wanachama wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe na anawashughulikia ipasavyo ndani ya Chama. "Tukikutana hivi kwenye vikao...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Cde. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameomba Chama cha Mapinduzi (CCM) kiwakabidhi vijana hao kushughulika na chama cha upinzani Zanzibar (ACT - Wazalendo) ambao wamekuwa...
0 Reactions
2 Replies
581 Views
Wakuu, Nafatilia hizi press zinazofanywa kila mara na Mbowe, pamoja na press anazofanya Lissu. Tumeshamsikia Lissu akisema mara nyingi kuhusu kufanya reforms CHADEMA, kupambana na rushwa pindi...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Ktk Hali ya kushangaZa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti bavicha ndugu shija amejitoa na kumuunga mkono mgombea mwenZake ndugu manyila ambaye pia anamuunga mkono lissu
5 Reactions
7 Replies
881 Views
Mbunge wa Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood, amejitolea kwa dhati katika kuboresha maisha ya wananchi wa jimbo lake kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo. Miongoni mwa mafanikio yake ni...
0 Reactions
44 Replies
2K Views
Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera. Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA...
10 Reactions
61 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…