Rose Fidelis Temu Kiongozi wa UVCCM kwa nafasi ya Katibu Hamasa na Chipukizi Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro amechukua fomu yakuomba ridhaa yakugombea Ubunge Viti maalumu Kundi la Vijana.
Soma...
Chama cha ACT Wazalendo kimezindua rasmi Operesheni MajiMaji, kampeni maalum inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda thamani ya kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Operesheni hiyo...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yasinta Kafulila amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini mkoani Kigoma.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge...
Salam wana wataalam wa masuala ya siasa. Dr. Mauki ametoa maoni yake kuhusu watia nia nafasi mbalimbali kupitia ukurasa wake wa Instagram. Unafikiri hoja yake ina mashiko? Jisomee mwenyewe kwenye...
Wakuu Jimbo la Kigamboni liko hot sana. Huyu hapa ni Gamariel Mboya naye achukua fomu kupitia CCM, ikumbukwe jimbo hilo lilikuwa chini ya Dkt. Faustin Ndugulile (Marehemu).
Mhandisi Edson Ngabo June 28,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) kuteuliwa kuwania nafasi ya ubunge Jimbo la Ileje katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2025.
Akizungumza...
Mwanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) Falmeo Mahenge amejitosa kwenye kinyang'anyiro cha kuomba kuteuliwa kuwa mgombea udiwani wa kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe
Soma Pia: Uzi...
Salha Mwinjuma Achukua Fomu ya Uwakilishi Viti Maalum Kundi la Vijana.
Amechukua fomu 28.06.2025 katika ofisi za UVCCM Mkoa wa Kusini Unguja.
Source: Bongo 5
Mkurugenzi wa Twende Pamoja na Mama Sports Promotion na pia Mkurugenzi wa Makundichi Villah na mlezi wa Wanawake na Samia, Mohammed Haaj, amechukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Kigamboni katika...
Wakili Sweetbert Nkuba aliyetikisa kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) mwaka 2024 akimenyana vikali na Boniphace Mwabukusi ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri...
Katibu wa Watanzania waishio nje ya nchi 'Daispora' Tanzania, Hassan Maftaha akionyesha fomu ya kuwania ubunge wa Kinondoni baada ya kuichukua leo Jumapili Juni 29,2025.
Fomu hiyo amekabidhiwa na...
Buchosa, Mwanza Tukio la kushangaza linalodaiwa kukiuka taratibu na maadili ya uchaguzi limeibuka katika Jimbo la Buchosa, ambapo mtia nia wa Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Charles...
Mwenyekiti na Muanzilishi wa Taasisi ya Asma mwinyi foundation, Asma Mwinyi achukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi CCM kuwania Ubunge Jimbo la Welezo Wilaya ya Mfenesini Unguja
Soma...
Mdau wa maendeleo jimbo la Wanging'ombe johnlongolela mara baada ya kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM, amesema ana imani chama chake kitatenda haki.
Mihayo Juma N’hunga amechukua fomu ya kugombea uwakilishi jimbo la Mwera kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mihayo amekabidhiwa...
SHINYANGA: Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Salome Makamba amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Salome amekabidhiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.