Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani...
6 Reactions
18 Replies
837 Views
Tundu Lissu amewahi kusimulia mkasa ambao alinusurika kupigwa mashumbwi na Mzee Wassira. mkasa huo haujawahi kuthibitishwa na upande ulio huru lakini uliandikwa katika gazeti la Mwananchi. Sasa...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema tarehe 21 January 2025 ni zaidi ya Uchaguzi kwani ndio Chadema Day Mnyika amesema tarehe 21 January 1993 Chadema ilipata Usajili kamili hivyo 2025...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Hamjamboni Wandugu... Tashtwiti Yangu Ya Leo Ni Juu Ya Chadema Imara Zaidi. Chadema Ya Kipindi Cha Dr. Slaa Na Zito. Ndugu Wananchi Kwa Mbinu Na Maarifa Waliyotumia Chadema Mwaka Huu Katika...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
“Winga ya kulia Lissu, Winga ya kushoto Heche halafu mimi(Godbless Lema) napita katikati halafu wanasema nilisema tutamleta Dkt. Slaa. Kaka tulimpa Lowassa(Hayati Edward Lowassa) Urais mtu wa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe. 2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo...
25 Reactions
123 Replies
9K Views
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR...
23 Reactions
273 Replies
11K Views
Watu 13 wanaodaiwa kuwa wahalifu wameuawa na Askari wa Jeshi la Polisi. Watu hao wamekutwa na Bunduki nane, Pikipiki mbili pamoja na Begi moja la nguo. Tukio hilo limetokea katika maeneo ya...
26 Reactions
651 Replies
90K Views
Chawa Mungu anawaona mjue Yaani baada ya Rais wa JMT kupatikana mnamuona Mbowe hana Dili tena? Mnataka Lisu alete amshaamsha Ili pawepo kampeni zenye Fursa kuanzia Kwa Madiwani na Wabunge...
2 Reactions
7 Replies
540 Views
Mh Tundu Lisu amesema Mzee Mbowe kuanzia tarehe 22 January 2025 Siku ya Jumatano atakuwa ni Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema Hiyo ni Kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Kwa Wenyeviti...
3 Reactions
6 Replies
776 Views
Nipo hapa nafuatilia mkutano mkuu wa CCM. Magambo ndie msanii peke yake aliyeimba vizuri, msanii asiyebana pua, rapper kutoka mchangani lakini amewafunika wote jukwaan, kawafunika woote hao...
2 Reactions
5 Replies
564 Views
Kama Intelejensia ya CCM isingeingilia Kati Halima Mdee ndiye angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na Lisu angeendelea na umakamu wake na uchaguzi ungefanyika 2024 siyo 2025 Mzee Mziray mkongwe wa...
3 Reactions
4 Replies
698 Views
Team, Salaàm! Mimi ni mtafiti mbobezi. Nimefanya hojaji na wanacdm wasiopungua 21 * 19 wamesema wanapenda TAL awe Mwenyekiti wao mpya; * 01 amesema yeyote atakayechaguli kati ya wagombea watatu...
3 Reactions
5 Replies
640 Views
Wakuu naona Godbless Lema ameshaamua kuwapongeza wagombea wake mapema akiamini wameshashinda. Hongereni sana kwa ushindi mkubwa ambao wajumbe wamewapa leo. Sasa mkafanye kazi na mkaheshimu imani...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa...
1 Reactions
9 Replies
880 Views
Viongozi wa Majimbo 8 wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamejitokeza hadharani kumuunga Mkono Mgombea wa Uwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu na kumtaka Mgombea mwenzake ambaye ndiye Mwenyekiti wa sasa...
6 Reactions
14 Replies
747 Views
Ni suala la muda tu, mambo yote yako tayari. Ni mtikisiko mkubwa.
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimeona Habari ya kushuka kwa bei za umeme Zanzibar, ndio nikashtuka kua kumbe tokea siku nyingi umeme Zanzibar NI Rahisi kuliko Tz bara. Je umeme si unatoka huku kwetu? Nini shida mpaka Sisi...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu, Kumbe wakati Lema anachangisha pesa za Join The Chain, Wenje alikuwa bize na utalii? Siku ya leo Godbless Lema akizungumza na wanahabari kuhusu a tuhuma zilizotolewa na Ezekia Wenje...
5 Reactions
11 Replies
871 Views
Ndugu zangu Watanzania, Jogoo 🐓 limeshawika Dodoma. Makada mbalimbali na wazee maarufu na viongozi mbalimbali mashuhuri wanaendelea kuunguruma na kuzungumza juu ya uimara , ushupavu, umadhubuti...
2 Reactions
10 Replies
826 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…