Kwahiyo wanalipanua jiji1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifana bandari kujengwa Bagamoyo.
Tuapanua jiji, lkn tumesahau kupunguza umaskini. Jiji gani hili ambalo watu wanaishi kwenye makazi duni na internet inakatwa na mzungu ?1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifana bandari kujengwa Bagamoyo.
Umefika Cape Town?Tuapanua jiji, lkn tumesahau kupunguza umaskini. Jiji gani hili ambalo watu wanaishi kwenye makazi duni na internet inakatwa na mzungu ?
Sawa BAKITANeno sahihi ni kupanuliwa SIO kutanuliwa.
Waliolipanga hilo jiji in 70s hawajua kutakuwa na ongezeko la watu, waanza wakiwa wamechelewaJiji la Dar ni dogo mno, watu wamebanana hapo katikati hata hewa safi hakuna wala mpango mji.
Ilitakiwa Pwani nzima iwe ndani ya Dar.
Ona majiji ya wenzetu kama Nairobi, Lagos etc yalivyo makubwa, ndo mana hatuwezi kuyafikia kimaendeleo
Acha iwe hivyo.....Mega City1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifana bandari kujengwa Bagamoyo.
Lagos kuna takataka na mnuko wa samaki Dar itasubiri.Jiji la Dar ni dogo mno, watu wamebanana hapo katikati hata hewa safi hakuna wala mpango mji.
Ilitakiwa Pwani nzima iwe ndani ya Dar.
Ona majiji ya wenzetu kama Nairobi, Lagos etc yalivyo makubwa, ndo mana hatuwezi kuyafikia kimaendeleo
sijui ni kwa nini serikali yetu hawakuliona hili mapema wakalitanua.Waliolipanga hilo jiji in 70s hawajua kutakuwa na ongezeko la watu, waanza wakiwa wamechelewa
Hayo yote ni maeneo ya Dar, wanajitoa ufahamu tu1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifana bandari kujengwa Bagamoyo.
Unyama utakuwa mwingi sana..Lango la jiji kuwa Chalinze