Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sitaki kusema natabiri ila napenda kuwatadharisha shirika la reli wawe makini na SGR, hayo makosa madogo madogo ya hii train kusimama simama bila kuelewa sababu za msingi, mara wakati mwingine...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa CHADEMA mh Mnyika amesema Chama chake kimeamua Kufanya Uwekezaji mkubwa kwenye Shamba lake la Kibaha Uwekezaji huo utahusisha Miradi mbalimbali ya Huduma na Uzalishaji Aidha Chuo...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
MAWAZIRI wawili wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, miongoni mwa sita waliotajwa kujipa wasifu wa elimu wasiyokuwa nayo, wameanza kutekeleza mkakati wa kujisafisha. Tayari imethibitika kuwa...
0 Reactions
52 Replies
11K Views
Wakuu, Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA? Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa...
11 Reactions
62 Replies
4K Views
Salamu JamiiForums Juzi wakati timu yangu pendwa ya Arsenal na Aston villa zikitoka Sare ya bao 2 Kwa 2 nikaona bora nihame sehemu ile na kwenda sehemu nyingine nikazugezuge na habari za siasa ...
3 Reactions
7 Replies
688 Views
Nimekutana na Joseph Kusaga kwenye Kolido za Ukumbi wa Mlimani City hadi nimeshangaa Katika Nchi ya kutekana na kubambikiwa kodi kama hii inawezekanaje Mfanyabiashara kama huyu kujitokeza kwenye...
15 Reactions
18 Replies
2K Views
Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Ni wazi Tanzania inashirikiana zaidi kiuchumi na Nchi za Asia ya mbali na Middle East Kibiashara na kiuchumi kuliko Nchi za Mabeberu. Kwa data hizi hakuna Nchi yeyote ya Kibeberu inaweza yumbisha...
3 Reactions
69 Replies
2K Views
Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
5 Reactions
124 Replies
7K Views
Wakuu, kama mnavyojua, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanya chaguzi mbalimbali kuanzia ngazi ya Kanda hadi Taifa. Jambo moja lililonivutia kufikiria kwa kina ni ushiriki mdogo wa...
1 Reactions
7 Replies
485 Views
Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar kimewataka wanachama na wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiket ya chama hicho Dkt Hussein Ali Mwinyi ambae atawasili kesho...
0 Reactions
2 Replies
465 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Mkoa wa Morogoro Ismail Rashidi Ismail amesema licha ya chama hicho kushindwa kufanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini bado...
1 Reactions
9 Replies
781 Views
Wakuu, Kufikia sasa tumeshajua kuwa Lisu amemchagua Godbless Lema kuwa wakala wa kusimamia kura zake kwenye Uchaguzi. Mbowe atamchagua nani awe wakala wake? Au ndo Kigaila bestie yake? Kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
483 Views
Anaitwa Benson Kigaila. Cheo chake Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA. Hajawai kuchaguliwa wala kupigiwa kura ila ameongoza miaka mingi CHADEMA. Mke wake yupo bungeni ni mmoja wa wale COVID-19...
18 Reactions
67 Replies
5K Views
== Mwl Nyerere aliwahi kusema mwanasiasa yeyote atakayeta kuchaguliwa kwa minajili ya kabila au dini yake huyo ni sawa na mwanasiasa mfu Mkataeni. Leo Freeman Mbowe Mchaga wa Machame anaonesha...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Pili Said Mohamed, ni Diwani wa Wadi ya Mahonda, Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja, simulizi yake katika harakati za uongozi inaonesha historia ya kipekee katika safari za Wanawake wengi wenye ndoto...
1 Reactions
0 Replies
562 Views
CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote, Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa? Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
0 Reactions
12 Replies
493 Views
https://www.youtube.com/live/98PbB_z9DZo?si=ErMXG6DXe_NNGU6_ Hawa watu wanaomwambia Mbowe hadharani kuwa amechoka sio wajinga wasikilizwe wamekuwa wengi huenda Wana hoja. Huenda Mbowe akishinda...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Kigaila kawanyima baadhi ya wajumbe vitambulisho makao makuu, Mikocheni. Amewaambia warudi kesho asubuhi. Wengi ya walio nyimwa vitambulisho ni kutoka maeneo yaliyo onyesha upande. Kigaila...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom