Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Je Sheria zinaruhusu Uchaguzi kufanyika Usiku wa manane? Naomba Ufafanuzi tafadhali
2 Reactions
12 Replies
579 Views
Wakuu Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege adai busara za Freeman Mbowe hazina maana yoyote katika nchi hii, kumlinda mtu mwizi ndio busara hiyo? "Yeye ni mtu...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Miongoni mwa sera bora kabisa kuwahi kusimamiwa na mgombea wa uongozi hapa nchini ilikuwa ELIMU ELIMU ELIMU. Binafsi nimeona mambo yafuatayo kuelekea kumjua Mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka mitano...
1 Reactions
4 Replies
423 Views
Mimi ni mpinzani yes naamini kwenye upinzani wa kuiondoa CCM madarakani ila kwa kinachoendelea kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni wazi bado Tanzania hatujapata chama ambacho ni mbadala wa CCM CHADEMA...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika. Mwendesha...
2 Reactions
10 Replies
709 Views
Katika siasa za kisasa, uongozi wa taasisi za kisiasa unahitaji mtu mwenye busara, hekima, na uwezo wa kuunganisha watu wenye mitazamo tofauti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya pamoja. Ndiyo...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Mgombea wa Uenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amewasili Mlimani City akiwa ndani ya gari alilopigiwa risasi na watu wasiojulikana mjiji Dodoma mwaka 2017 likiwa bado na alama za risasi katika...
15 Reactions
49 Replies
4K Views
Wakuu Kitaalam tunaiitaje hii? Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, ambaye ni wakala wa mgombea uenyekiti Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, akifurahia jambo na...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mhe.Rais wa JMT, Mhe.Waziri wa TAMISEMI Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Chadema Wao wale Wajumbe 1200 ndio Wenye Maamuzi nani awe Mwenyekit wa Taifa na ukiweza kuhonga Wajumbe 700 wewe ni Mshindi Ila Wenzao CCM Wajumbe huingia na Azimio Kutoka mkoani kwamba...
0 Reactions
4 Replies
283 Views
Mtindo huu utaitafuna sana CCM na kuna baadhi ya mambo wanayajutia kuyakubali kwa upambe lakini ndiyo hali waliyo iruhusu wenyewe CCM ya sasa ukiweza ku mobulise wajumbe kwa namna yeyote ya...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Rip chadema, ndivyo hivyo tunavyokuaga huku wakuu walliokuua maksudi wakipanga namna ya kujipoza mioyo yao kutokana na majeraha uliowaachia? Chadema leo umeiga nyendo za CCM za kuengua watia nia...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kila nikimtazama Rais wetu, naona matarajio aliyonayo katika kukuza utalii wetu kimataifa ni makubwa mno. Ili kutimiza matarajio hayo, anatumia mikakati mbalimbali hususani kushiriki katika...
2 Reactions
7 Replies
658 Views
Lissu ndio kiongozi pekee asiye na kisasi ndani ya CHADEMA, Pamoja na matusi ya kila namna aliyemtukana Lissu Leo wako pamoja wanacheka na kufurahi, Yakiwa yamesalia masaa machache kwenda kwenye...
18 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakuu, Sarakasi za Uchaguzi wa CHADEMA zinaendelea kuwa moto. Akiwa anaongea siku ya leo, moja ya mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA aliyrjitambulisha kama Wilfred Alfred Mgina amesema kuwa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kunapofuka Moshi moto unawaka na dalili ya mvua ni mawingu, wahenga walisema. Rais Samia anakubalika, anapendwa na anahitajika mno na watanzania na watanzania watafanya juu chini kumheshimisha...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wapo watu ambao Gambo aliwavunjia heshima na hivyo kuwadhihaki au kuwafanya wataabike mbele ya umma japo ni watu wasio na mawaa. 1-Mhe.Felix Ntibenda -alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.(alimfitini...
18 Reactions
55 Replies
4K Views
Binafsi nilishangazwa na namna walivyokuwa wakivuana nguo kila upande kati ya wafuasi wa mbowe na Lissu. Ijapo Mbowe alionesha ukomavu sana licha ya kuambiwa mwizi bado amekosa mvuto kabisa kwa...
1 Reactions
4 Replies
468 Views
Ni rasmi; agenda ya uchaguzi utakaoamua nani atakayeiongoza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa miaka mitano ijayo imeanza, na uhakiki wa wajumbe watakaofanya uamuzi umeanza. Uhakiki...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…