Mbowe anataka kuficha madhaifu yake ya kushindwa kuongoza chama

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa sasa Mbowe anatapatapa, haelewi ashike wapi na aache wapi. Hii ni baada ya shutuma kuwa kali sana ndani ya chama chake kutoka kwa wanachama wake ya kumtaka ajiuzulu na kuachia uongozi ndani ya CHADEMA, baada ya kuonekana kuwa ameshindwa kukiongoza chama na kukosa mawazo mapya ya kukijengea umaarufu na ushawishi kwa wapiga kura.

Kwa sasa wanachama wa CHADEMA wamepoteza kabisa imani juu ya uongozi wa Mbowe na mipango yake. Kwa hiyo katika kutaka kujikosha kwa wanachama ndio sasa mbowe anakuwa kama kakurupushwa na kutangaza mambo ambayo hawezi kuyafanya wala kuongoza wala kuwa msitari wa mbele wala kufanikisha au kufanikiwa. Ndio maana anatangaza na kuzungumza vitu anavyojuwa hata yeye mwenyewe kuwa havitekelezeki wala kuwezekana hata kidogo.

Hii yote ni katika kujaribu kurudisha imani ya wanachama ambayo imeondoka kwake. Maana viongozi wenzake hawamuelewi na wala haeleweki kwa yeyote yule. Hata katika kuzungumza hayo aliyoyazungumza bado viongozi wenzake na wanachama wanaojitambua wanaona kuwa kakurupuka sana, maana hawezi kufanikiwa kwa chochote maana siyo mara ya kwanza wala ya pili kusema na kutangaza hayo aliyoyasema.

Rai yangu ni kuwa mbowe aache mihemuko na kukurupuka na kuongea vitu visivyo na msingi ambavyo hana ubavu wala uwezo wala nguvu wala ushawishi wa aina yoyote ile kuweza kufanikisha.

Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kumuunga mkono. Kwa kuwa kila mtu anajuwa kuwa CHADEMA ni wachumia tumbo na watu wasio na uchungu na maisha ya watanzania zaidi ya kupigania matonge yao tu.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa sasa Mbowe anatapatapa ,haelewi ashike wapi na aache wapi .hii ni baada ya shutuma kuwa kali sana ndani ya chama chake kutoka kwa wanachama wake ya kumtaka ajiuzulu na kuachia uongozi ndani ya CHADEMA,baada ya kuonekana kuwa ameshindwa kukiongoza chama na kukosa mawazo mapya ya kukijengea umaarufu na ushawishi kwa wapiga kura.

Kwa sasa wanachama wa CHADEMA wamepoteza kabisa imani juu ya uongozi wa Mbowe na mipango yake.kwa hiyo katika kutaka kujikosha kwa wanachama ndio sasa mbowe anakuwa kama kakurupushwa na kutangaza mambo ambayo hawezi kuyafanya wala kuongoza wala kuwa msitari wa mbele wala kufanikisha au kufanikiwa.ndio maana anatangaza na kuzungumza vitu anavyojuwa hata yeye mwenyewe kuwa havitekelezeki wala kuwezekana hata kidogo.

Hii yote ni katika kujaribu kurudisha imani ya wanachama ambayo imeondoka kwake.maana viongozi wenzake hawamuelewi na wala haeleweki kwa yeyote yule.hata katika kuzungumza hayo aliyoyazungumza bado viongozi wenzake na wanachama wanaojitambua wanaona kuwa kakurupuka sana, maana hawezi kufanikiwa kwa chochote maana siyo mara ya kwanza wala ya pili kusema na kutangaza hayo aliyoyasema.

Rai yangu ni kuwa mbowe aache mihemuko na kukurupuka na kuongea vitu visivyo na msingi ambavyo hana ubavu wala uwezo wala nguvu wala ushawishi wa aina yoyote ile kuweza kufanikisha.hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kumuunga mkono.kwa kuwa kila mtu anajuwa kuwa CHADEMA ni wachumia tumbo na watu wasio na uchungu na maisha ya watanzania zaidi ya kupigania matonge yao tu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hili bumunda la kijani ni shida
 
Ni kwa kuwa uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana kwa hiyo inakuwa ngumu kuelewa. Subiri mada za kuendana na akili yako ndio utaelewa vyema.
Machwa mmoja wa Wapuuzi hawajawahitokea.
Unaandika utopole kila siku.
Ukitaka kuelewq jiulize ni kwanini kila ukiandika unaandika Gazeti nini waTanzania tusichoelewa.

Alikuwepo Musiba jiulize ako wapi Sasa.
 
Ingefaa urudi darasani ili ujifunze namna ya kuandika vizuri
 
Sio kila tukio lazima uandike Uzi mkuu,ni bora Kuna muda jipe mapumziko ya kusoma zaidi ili ujanze maarifa mengi zaidi.
Ameandika uhalisia mtupu!
Kwani umelazimishwa kusoma?
Mnaposema Demokrasia huku mkizuia wengine wasiseme!
Acha upumbavu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa sasa Mbowe anatapatapa, haelewi ashike wapi na aache wapi. Hii ni baada ya shutuma kuwa kali sana ndani ya chama chake kutoka kwa wanachama wake ya kumtaka ajiuzulu na kuachia uongozi ndani ya CHADEMA, baada ya kuonekana kuwa ameshindwa kukiongoza chama na kukosa mawazo mapya ya kukijengea umaarufu na ushawishi kwa wapiga kura.

Kwa sasa wanachama wa CHADEMA wamepoteza kabisa imani juu ya uongozi wa Mbowe na mipango yake. Kwa hiyo katika kutaka kujikosha kwa wanachama ndio sasa mbowe anakuwa kama kakurupushwa na kutangaza mambo ambayo hawezi kuyafanya wala kuongoza wala kuwa msitari wa mbele wala kufanikisha au kufanikiwa. Ndio maana anatangaza na kuzungumza vitu anavyojuwa hata yeye mwenyewe kuwa havitekelezeki wala kuwezekana hata kidogo.

Hii yote ni katika kujaribu kurudisha imani ya wanachama ambayo imeondoka kwake. Maana viongozi wenzake hawamuelewi na wala haeleweki kwa yeyote yule. Hata katika kuzungumza hayo aliyoyazungumza bado viongozi wenzake na wanachama wanaojitambua wanaona kuwa kakurupuka sana, maana hawezi kufanikiwa kwa chochote maana siyo mara ya kwanza wala ya pili kusema na kutangaza hayo aliyoyasema.

Rai yangu ni kuwa mbowe aache mihemuko na kukurupuka na kuongea vitu visivyo na msingi ambavyo hana ubavu wala uwezo wala nguvu wala ushawishi wa aina yoyote ile kuweza kufanikisha.

Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kumuunga mkono. Kwa kuwa kila mtu anajuwa kuwa CHADEMA ni wachumia tumbo na watu wasio na uchungu na maisha ya watanzania zaidi ya kupigania matonge yao tu.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
akishindwa kuongoza sio ndio vizuri kwa CCM? kuna tatizo?
 
mbowe ni miongoni mwa viongozi waoga sana nchini japo ni mjanja 🐒
 
Ubweche chawa Lucas mbwaaaaambwaaa wa shamba
 
Siyo kila mada lazima uchangie mawazo yako hata kama mada imekuzidi urefu wa kimo cha akili yako.
Sasa wewe unaye weka namba ya simu kwa kila post yako ndo una akili?

"Upumbavu ni kipaji kama ilivyo urefu na ufupi huwezi muelimisha mpumbavu akaacha upumbavu wake"Mwl.Nyerere
 
Back
Top Bottom