Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenye sayansi ya tiba na saikolojia kuna kitu kinaitwa "anxiety" na "Post-traumatic stress disorder' au PTSD. Hizi ni hali zinazomkabili mtu baada ya kupitia tukio fulani linaloacha kumbukumbu...
5 Reactions
9 Replies
793 Views
Hebu wakuu nanyi muicheki tuone kama bado inalipa. Hii iliandikwa kipindi kile cha mwaka 2015 wakati TAL anagombea urais. Katika uzi mmoja nikasema kama wakivuka salama hawa wakuu na FAM akawa...
2 Reactions
4 Replies
451 Views
Tangu CHADEMA kutangaza mchakato wa kumpata Mwenyekiti, wagombea hawakulala, walitoa ya moyoni.Wengi walituhumu, wengine walitoa maneno ya kashifa ili kuvutia kura upande wao, Wenye Hekima na...
2 Reactions
0 Replies
394 Views
Ntobi na jamaa yake Yericko Nyerere hatimaye wamebaki hadithi na maujinga yao ya kumtweza Lissu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA kumalizika. Ninao uhakika kwa sasa nafsi zao zinapitia wakati...
0 Reactions
3 Replies
448 Views
Jeshi, Polisi na Usalama msijihusishe na siasa na kuanza kupendelea vyama kwasababu inaelekea wananchi wengi sio washabiki wa vyama bali ni wapenda haki. Vitendo vya watu kuona waziwazi wanaiba...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Mungu amefanya kazi, nimezaliwa upya baada ya kuponywa kutoka ICU. Nilijeruhiwa na siasa mufilisi za chama changu CHADEMA ambazo ziliniliza kwa miaka kadhaa. Ama kweli sasa nipo tayari...
3 Reactions
4 Replies
502 Views
Hali yangu na hawa wenzangu ambao tulijitolea kwa hali na mali kumshambulia Lissu na kumsifu Mbowe ni mbaya. Hatuna raha, tumekonda ghafla na nuru imezidi kufifia. Hiki ni kipindi ambacho...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanabodi, Niko hapa Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, nimelala bonge la hotel, bonge la chumba, bonge la kitanda, ila sisi watu wa yale mablengeti, nimejikuta nimekosa kabisa usingizi, hivyo...
14 Reactions
36 Replies
2K Views
Kipindi cha Yusufu Makamba alipokuwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Alipata kusema kuwa akiondoka Mbowe na Dr. Slaa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chama hicho...
8 Reactions
88 Replies
4K Views
51% vs 49% ni ushindi mwembamba sana ambao ulimfanya mchungaji Msigwa akimbilie CCM kujisalimisha Lakini Freeman Mbowe amekubali na kumpongeza mshindi Tundu Lisu Ni Ukomavu wa kisiasa...
4 Reactions
4 Replies
515 Views
Tumeandaa tafrija fupi ya kuwapongeza waheshimiwa Tundu Lissu na John Heche kwa ushindi wao katika uchaguzi Mkuu wa CHADEMA uliofanyika jana/leo. Lakini pia katika tafrija hiyo tutampongeza...
2 Reactions
4 Replies
708 Views
Salaam wana jukwaa, Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kushuhudia UCHAGUZI WA kihistoria ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo. Pia nichukue nafasi hii kumpongeza mh Tundu...
2 Reactions
2 Replies
486 Views
Hivi yule Mzee alikuwa na matatizo ya afya ya akili? Miaka 5 anazunguka Tanzania nzima kujinadi halafu kipindi cha uchaguzi mkuu 2020 bado tena akawaminya kwa kutumia Dola. Mtu mwenye akili...
5 Reactions
9 Replies
561 Views
Ndugu Lissu. Tumeziona teuzi zako, lakini hatuoni kuwa iko sahihi Lema kubaki bila kuwa na nafasi yoyote nzito ya kiuongozi hapo CHADEMA. Huyu mtu alikuwa critical kwenye ushindi, ni kichwa...
10 Reactions
42 Replies
3K Views
Binafsi nimpongeze Lema kwa kazi nzuri aliyofanya, najua kapitia mambo mengi katika huu uchaguzi ila kawa imara mpaka ushindi umepatikana . Viva Tundu lissu, Mungu ibariki CHADEMA
3 Reactions
11 Replies
886 Views
Habari ni kwamba nguvu iliyopo na ushawishi ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA nikubwa na yakushangaza vijana wengi wanaunga mkono chama hicho pamoja na mawakili wengi tanzania...
4 Reactions
6 Replies
764 Views
Huo ndiwo UKWELI! Bwana Mbowe nenda kapumzike salama kaka, ulichokifanyia Chama kwa wakati wako kinatosha na ASANTE! Binafsi nitakukumbuka kwa namna jioni ya giza changa pale Bungeni...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wakiongozwa na Mwenyekiti Mohammed Kawaida na Katibu Mkuu Jokate Mwegelo, wamesema wako tayari kuhakikisha wagombea wa Urais, Rais Dkt...
5 Reactions
67 Replies
4K Views
Mbunge wa Nzega Dr Kigwangala ambaye ni team Mbowe amefurahishwa sana na Demokrasia ya Chadema katika kuchaguana Amefurahi akiwa ukurasani kwake X Ahsanteni sana 🐼
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Hatimaye Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimempata Rais wake kwa mwaka 2019/20 Kura zilipigwa na wengi wamemchagua Dr Rugemeleza Nshala kuwa Rais wa TLS 2019/20, ambae pia alikua makamu wa...
45 Reactions
198 Replies
82K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…