Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawaza na kushauli pia, Lissu na Zitto waunganishe nguvu kwa maslahi mapana ya Nchi ili pamoja na mambo mengine, waikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Mfano, Chadema wakubali kumuunga mkono...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Arusha mtu akiwa anakunywa pombe grocery tofauti tofauti utasikia ohh yule bilionea grocery au baa gani wasiomjua kumbe anakunywa hapa bia mbili kule mbili MAREKANI na Ulaya tajiri hupimwa kwa...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwema wakuu… Anaandika mwandishi mkongwe, Pascal Mayalla kwanini Steven Wassira hujulikana pia kama Tyson. “Mimi nimeingia newsroom Januari 2, 1990, huu ni mwaka wangu wa 34, hivyo Wasira...
1 Reactions
4 Replies
777 Views
Na kwa safu ya uongozi na wagombea uongozi wake kwenye ngazi ya urais na umakamu wa Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar, Ni wazi CCM madhubuti imejipanga vizuri mapema...
1 Reactions
20 Replies
887 Views
Mwenyekiti mpya wa CHADEMA ameshatoa masharti ya nyie kurejea kwenye chama chake. Masharti hayo ni magumu na hata kama mtarejea CHADEMA, hakuna uwezekano wa nyie kuwa wagombea wa ubunge wa majimbo...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo wa uzalishaji na kuongeza thamani viwanda 53...
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Kama ni kweli ulifanyiwa figisu kwenye uchaguzi wa Kanda ya Nyasa nikupe pole sana ndugu Msigwa. Yote kwa yote, wazo la kuhama kwako CHADEMA kwa maoni yangu ni kuwa ulifanya maamuzi ya haraka...
18 Reactions
38 Replies
2K Views
Moja ya sera moja nilicheka cheka sana eti walifanya intoduction ya kodi ya miamala ya simu ku discourage the use of cash so moja ya kazi ya hii kodi ni watu wafanye malipo bila kutumia cash...
0 Reactions
2 Replies
384 Views
Ni ukweli ndani ya chadema wanachama wamegawanyika mapande ya kiuchaguzi na kampeni. Ninatoa ushauri rahisi wa kutibu majeraha bila nguvu kubwa kama ifuatavyo: 1. Kushughulikia saikolojia ya...
1 Reactions
3 Replies
363 Views
Sasa hawa jamaa walituhaminisha kwamba mama kafanya kila kitu inapofika muda wa yeye kuhojiwa kwamba yeye kama mbunge kafanya nini muda wa uongozi wake imekuwa anachafuliwa hii nchi hii ina comedy...
2 Reactions
0 Replies
348 Views
Huyu 👇👇jamaa anayejigamba hapa anajitambulisha kama Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bagamoyo. Haina shaka kuwa alikuwa "Team Mbowe..." https://youtube.com/shorts/ozPk6U2P45k?si=SZQVYkHgEETLKsf0...
1 Reactions
4 Replies
781 Views
Mtoto wa kike yuko katika mazingira hatarishi ukilinganisha na mtoto wa kiume!!mtoto wa kike asipopata mahitaji muhimu atatafuta njia nyengine za kujipatia kipato ambazo ni hatarishi kwake .njia...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Utangulizi; Katika uwanja wa siasa za Tanzania, Kasim Majaliwa amekuwa na nafasi muhimu, lakini utendaji wake unatia huruma sana. Amepewa jukumu kubwa la kuwa Waziri Mkuu, lakini miongoni mwa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Na kwa sasa hiyo 80% ya raia inasubiri kujua ni nani hasa atakuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA. Na kufika mwezi wa 7, hiyo 20% ya raia inayojua, huenda ikawa imeshasahau au imeshakosa imani...
1 Reactions
0 Replies
378 Views
Mdomo uliponza kichwa. Wazazi, pelekeni watoto shule. Huyu mjumbe wa mkutano mkuu, kama angekuwa amemaliza hata kidato cha nne kwa alama 31, angeelewa kwamba lile lilikuwa tu igizo. Kikao...
9 Reactions
70 Replies
7K Views
Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
1. Mara ni kitivo cha uongozi. Mwl Nyerere, Jaji Warioba, Jenerali Msuguri, IGP (Mstaafu) Sirro ndio waliopotokea. 2. Tunawakaribisha viongozi wetu hapa airport Musoma tarehe 30/03/2025. Saa 5...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma umeendelea kuonyesha maendeleo makubwa, huku kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikieleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu salama, Baada ya CHADEMA kupata mwenyekiti mpya watu wamekuwa na imani kuwa huenda chadema wataitoa madarakani CCM, lakini uhalisia ni kwamba kama wananchi hawatoungana kwa pamoja CCM...
1 Reactions
10 Replies
752 Views
Tanzania ipo mikono salama chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Rais Samia ni Amiri Jeshi Mkuu na anahakikisha mipaka ya Tanzania ipo Salama na watanzania...
0 Reactions
2 Replies
579 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…