Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye...
11 Reactions
120 Replies
10K Views
Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amewaomba wananchi wa Dar kuwa wakarimu Kwa wageni wetu RC Chalamila amesema Wingi wa police mitaani ni katika kuimarisha Ulinzi lakini wananchi wasiwe na...
0 Reactions
3 Replies
328 Views
Kitendo cha kufunga barabara na kuzuia watu kwenda kazini kwa siku mbili za mkutano wa nishati wa viongozi wa Africa kimrdhihirisha ufinyu mkubwa wa miundombinu ya jiji la Dar es Salaam. Ufinyu...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Pia soma Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe LGE2024 - CHADEMA yatoa tamko baada ya Freeman Mbowe kukamatwa na Jeshi La Polisi
10 Reactions
73 Replies
5K Views
Mataifa yanayoheshimika duniani kwa kuwa na intelejensia ya kiwango cha juu duniani kwa sasa ni Marekani, Urusi, Israel, China na Uingereza. Intelejensia ya kiwango cha juu katika mataifa haya...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi...
0 Reactions
3 Replies
744 Views
Kwanza ieleweke wazi kwamba kazi kubwa ya serikali katika uwanda wa biashara ni KURATIBU, KUWEZESHA NA KUTOA MIONGOZO NAMNA BORA YA UWEKEZAJI kwa wafanyabishara wazawa na wageni kutoka nje...
1 Reactions
7 Replies
534 Views
Ni mambo ya kushangaza kidogo, je tumerogwa? ama tumejiroga? Ni hali ya hatari kwa kweli inakuwaje serikali imetumia pesa nyingi kwenye michezo lakini imeshindwa kununua vifaa vya kujifungilia...
0 Reactions
3 Replies
461 Views
Sarakasi zilizotokea kwenye kumpitisha Samia kuwa mgombea wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu ni za kutia aibu kubwa sana. Lakini nimekuwa najiuliza nini hasa sababu ya CCM kumpitisha bibi harusi huyu...
19 Reactions
43 Replies
2K Views
Hii najua haitawapendeza wengi wanaotaka mabadiliko katika nchi yetu. Lakini siasa za uzandiki, fitina, Majungu na kuchafuana mimi sio muumini wake.. toka kipindi Lowassa anaitwa Fisadi, hizi ni...
6 Reactions
71 Replies
2K Views
Binafsi nimuombe Rais Samia S. Hassan aongeze kasi ya kuijenga Dodoma ili shughuli zote za kiserikali including zake mwenyewe zifanyikie Dodoma. Dar es Salaam tuiache ipanuke kibiashara zaidi...
1 Reactions
12 Replies
788 Views
Sheikh Yahya Hussein alitabiri kuwa mtu yeyote ataeshindana na Kikwete atakufa. watu wengi walikanusha na kumbeza, wengine walidiriki kusema mzee amechoka na hana mpya. kumbe utabiri wake una...
1 Reactions
23 Replies
9K Views
Hii ndio Taarifa mpya ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani. Zaidi angalia hapa
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Taarifa inaeleza kwamba viongozi hao wamekutana katika kikao cha Kupanga Mikakati Kwenye Ofisi za Chama hicho, Mikocheni D'Salaam
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimeona member mmoja anajiita Robert Heriel Mtibeli anaungana na RC chalamila na kusema kuna bima ya Elfu 40 ina cover mpaka uzazi , Ultrasound,X ray ...etc Naipataje mnaoijua ?
4 Reactions
20 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/shorts/jwfDHKHatwM?feature=share
6 Reactions
49 Replies
3K Views
Chama Kipya Kinakuja, Kinaitwa Umoja Party...
23 Reactions
221 Replies
25K Views
Wanaukumbi Baada ya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kuisha na kupata viongozi wa wapya Mwenyekiti Tundu Lissu, na Makamu wake John Heche. Kama tulivyosikia na kuona hotuba ya Mwenyekiti aliyepita...
8 Reactions
128 Replies
6K Views
Hii Kauli ya kamanda Heche imenihuzunisha sana hasa nikikumbuka Yeriko na Ntobi walivyonunuliwa Suti na Wenje kwenye mdahalo wa Jana Kumbe ziko damu zinaililia Chadema iliyoko sokoni inauzwa...
4 Reactions
14 Replies
783 Views
Okay, Lissu ameshinda furaha ni kubwa kwa supporters wake lakini kwa wapinzani wake ni msiba mzito. Ni msiba sio kwa kuwa tu wamepoteza nguvu kwenye chama na Mbowe kashindwa, ila msiba mzito ni...
2 Reactions
13 Replies
554 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…