Utabiri wa Sheikh Yahya Hussein watimia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utabiri wa Sheikh Yahya Hussein watimia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtu wa Pwani, Aug 9, 2010.

 1. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,094
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Sheikh Yahya Hussein alitabiri kuwa mtu yeyote ataeshindana na Kikwete atakufa. watu wengi walikanusha na kumbeza, wengine walidiriki kusema mzee amechoka na hana mpya.


  kumbe utabiri wake una ukweli wa kutosha, wengi tulifikiri kufa ni kutoka roho tu. lakini hata kufa kisiasa ni kufa  kwa hio ndugu yetu shibuda aliepambana na Kikwete tayari ameshakufa kisiasa
   
 2. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,013
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Wewe acha maneno yako, Yeye alimaanisha kuondolewa uhai, na kuondoka CCm siyo kufa kisiasa. Ivi wewe una maana kuwa hai ni kuwa sisiemu? Ndugu yangu kama utakuwa hivyo basi hii nchi haiendi mbele hata kidogo. Kwa sababu tunaona kwenye vyama vingine pia kuna kitu kinaendelea si wote wamekufa.

  Please re think.
  Huu ni mwelekeo wa kufa kwa CCm na siyo watu wanaohama. CCM uhai wake unazidi kuzeeka!!!
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,870
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mzee wewe wajua hii ni PUMBA!
  Kwani wewe msemaji wa Sh Yahya, au mko dili moja huko kusadikika?
   
 4. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,013
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Kweli hii ni pumba LIVE bila chenga.

  Na nadhani huyu ni mwenzie au shabiki wake
  Maana kuhama si sawa na kufa
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  POle saana kwa kuoza akili Mungu akurudishie akili zako
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Yaani ndugu yangu unavyobadilisha kauli utadhani Watanzania hatuna masikio!!
  Ndo maana swahiba wako (Shekh Yahya) amepunguzwa makali na Pweza Paul.
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,522
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Nani kakwambia Shibuda kafa kisiasa?Nyie ndio wale msiopenda mabadiliko katika jamii.
  Msalimie baba yako Shehe Yahaya natumai ujumbe aliokutuma umefika hata kama ni pumba tupu.
  Natumai pia kakutabiria kuwa umefilisika kifikra na pole pole utakufa na hatutokuona tena humu kutuletea pumba kama hizi.

   
 8. minda

  minda JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,068
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  1. sikubaliani nawe kwani unajaribu kulazimisha watanzania tuamini katika nguvu za majini (imani yako) na bila shaka alipopondewa ulikaa kimya na sasa sononeko lako limekwisha lakini nakwambia huo ni uchovu wa mawazo kwani umeungaunga tu matukio ukidai ni picture in continuum.
  2. naona uko mbali kweli na dunia. hakuna mwana ccm yeyote aliyeshindana na kikwete; kura zilipigwa au kwa kikwete (ndiyo) au kwa ruhani (hapana) ambapo ruhani alipata kura 16 tu za wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa ccm na zilizobaki akanyakua jk
   
 9. j

  jilala Member

  #9
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  .

  Wakuu,
  Mbona mnashambulia sana mleta maada?Hayo ni maoni yake tu.
  Kumbuka uchaguzi wa mwaka 2005,Sheikh Yahya,alitabiri kuwa mshindi katika ushaguzi huo angekuwa mwanamke.Na baada ya JK kushinda, Yahya ,alisema alikuwa na maana ya mshindi mwenye mvuto wa mwanamke.

  Kwa hiyo inawezekana mleta maada akawa yuko sahihi.
   
 10. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,772
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Aliyekuroga wewe alikufa mwaka jana! Ondoka hapa na upuuzi wako!
   
 11. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 7,522
  Likes Received: 3,787
  Trophy Points: 280
  Shibuda alipambana na Kikwete LINI?
   
 12. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,225
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wewe ni nani mpaka uongee kwa niaba ya shk yahya..?

  kwani yeye hajui tofauti kati ya kufa na kufa kisiasa..?
   
 13. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 1,979
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  CCM na vibaraka wao matumbo joto.Mara wajaribu kete ya udini,mara wageukie ushirikina.Mshindwe na mlegee kabisa mafisadi wakubwa nyie.
   
 14. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 8,494
  Likes Received: 2,120
  Trophy Points: 280
  Usituletee ushirikina wako hapa, peleka huko huko Lumumba.
   
 15. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani SHe Yahaya ni nani bwana, nyie mnapeeendaa kuwausudu watu wasio na Fasida katika Taifa,, ok Baada ya utabiri huo wewe umepata nini, na kikwete si Mtu kama wewe ulivyo, sasa Toka 2000 mbona ameshindana na wengi tu hawajafa,, Lipumba, Mrema, Mtikila, Mbatia hawa hujawahi kuona wala kusikia, au mashindano unayosema wewe ya Nusu marathon?

  Hebu jaribu kufikiri na kutenda kabla ya kuja Jamiini...
   
 16. G

  GEOMO Member

  #16
  Aug 10, 2010
  Joined: Jul 11, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  mtoa mada kushambuliwa ni halali yake. Maana hili si jukwaa la propaganda na ubabaishaji kama wanavyotaka kulitumia yeye na huyo mzee wake. Hapa ni mahala pa fikra pevu na mtazamo chanya. Kama wanataka jukwaa la upotoshaji waungane na wapotoshaji wengine akina tambwe hiza na kingunge waanzishe lao. Ukiona hivyo wanatengeneza mazingira ya kuleta uongo mwingine.
   
 17. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Shibuda hakufa kisiasa bali alijambaziwa kura za maoni kama sera za chama cha majambazi, akija CHADEMA atapaa sana kisiasa kwani CHADEMA ni chama cha demokrasia na makini sana hakiibi.Sheikh Yahaya lazima amlinde JK kwani ndie aliyemsaidia kwenda india kwa matibabu, so lazima atishie watu ili wasimpinge lakini hakuna kitu hapo.
   
 18. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kazi kweli kweli kufa nini kwani?nisaidieni na mimi jamani
   
 19. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #19
  Aug 10, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 8,883
  Likes Received: 1,821
  Trophy Points: 280
  Yeye na CCM ndo hawataendelea,sie twapeta na Dr Slaa
   
 20. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  na bahati mbaya sana leo kusaini tu kwenye JF nakutana na pumba za Mtu Pwani
   
Loading...