Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Iringa Mjini Jesca Msambatavangu ameiuliza Serikali kuwa imejipanga vipi kudhibiti kile alichokiita kuwa wizi wa binadamu (utekaji) nchini Tanzania. Swali hilo lilielekezwa Wizara ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkutano wa nishati uliowashirikisha wakuu wa nchi za Afrika unamalizika leo jijini Dar es Salaam. Mkutano huu muhimu kabisa kwa Tanzania na bara zima la Afrika wenye malengo ya kuwezesha waafrika...
1 Reactions
2 Replies
599 Views
Mkutano wa Nishati Afrika: Kuwapatia Umeme Watu Milioni 300 ifikapo 2030 Mkutano wa Nishati Afrika ni tukio la kihistoria lililowakutanisha viongozi wa kimataifa, watunga sera, na washirika wa...
1 Reactions
5 Replies
997 Views
Haya mambo ya kiwaki hawapaswi kuchukuliwa poa wazee. Mtu Gani anatukana wananchi ambao wanalipa Kodi na ndiyo nguzo ya taifa lolote. Hivi huyu chalamila anavuta bangi? Au ana matatizo Gani ya...
3 Reactions
4 Replies
428 Views
Demokrasia Marekani kubwa sababu wanasiasa wana shughuli za kuwaingizia vipato vya kutosha nje ya siasa tofauti na Tanzania Kwa Tanzania ukianzia upinzani hadi Chama tawala wengi waganga njaa...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Ndugu zangu ,Watanganyika, kuna hali inayoleta maswali mengi kuhusu matumizi ya muda na fedha zetu. Siku hizi, tunaona watu wengi wakijitokeza kusherehekea "birthday" ya Saa100, lakini ni muhimu...
0 Reactions
10 Replies
620 Views
Jamani CCM ifike pahala muwe na huruma na nchi hii hata kama mna mpango wa kutawala milele. Itafika kipindi jamii ya nchi hii iwe kama jamii ya mazombi, maana hawa mazezeta mnaowaandaa ndio...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Kwa namna Shujaa Magufuli alivyotuandaa Kupambana katika Mazingira magumu ya Africa kutengwa na Wazungu huyu Trump na mikwara yake tutakabiliana naye kiulalo ulalo 🐼 Trump anafuta mikataba ya...
2 Reactions
10 Replies
722 Views
Huwezi kunikuta hata siku moja nikisema Asante Samia kwa kujenga hospitali, au barabara au shule. Hata siku moja huwezi kuniona nikisema asante Samia kwa kupeleka maji sehemu ya Tanzania au...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Mjadala: Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit inayo fanyika 27 - 28 January 2025 Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika katika Bara...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Toka katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iweke ukomo wa mtu kukaa kwenye nafasi ya urais kwa miaka 10 kwa vipindi vya miaka 5, mgombea wa CCM aliye na stahiki ya kugombea mhula wa pili baada...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Kuna barua nyingine tena zinazodaiwa kuandikwa na wafungwa wa Kitanzania wanaotumikia vifungo vyao huko Hong Kong baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya. Anayechapisha barua hizo kwenye mitandao...
2 Reactions
121 Replies
21K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amejikuta akishindwa kujizuia hisia zake za furaha na shukurani kwa...
3 Reactions
73 Replies
2K Views
Wakuu, Mkutano wa nishati ambao walengwa wakubwa ni viongozi mbalimbali wa kimataifa na wenyewe ulihitaji "uhamasishaji" kutoka kwa Michael Msechu? Tunaenda wapi kama taifa? Balozi wa Mazingira...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Mh Yeriko na Mh Ntobi wamesema walidhani Tundu Lisu atatoa Amri ya maandamano hadi Makao makuu kuhakikisha Press ya katibu mkuu Mh John Mnyika inafanyika...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake...
9 Reactions
57 Replies
5K Views
Kwa mara nyingine, maafisa wa Hong Kong katika kiwanja cha ndege wamefanikiwa kukamata dawa za kulevya zilizokuwa zinasafirishwa kutokea Tanzania safari hii zikiwa zimefichwa katikati ya chuma cha...
6 Reactions
158 Replies
14K Views
Ni kama vile hizi zama Viongozi wenye Fikra za akina Thomas Sankara na Ibrahm Babangida wa enzi zetu ndio furaha ya vijana Ninaiangalia hapa Picha ya Tundu Lisu akiwa JKT Duh ni afadhali...
1 Reactions
4 Replies
480 Views
Kwa Viongozi wetu wanaoratibu huu mkutano. Hivi huu mkutano ulipangwa ghafla hadi tunawashtukiza wananchi na press release za usiku za kufunga shule kwa siku mbili?? Kwanini huwa hatukai chini na...
12 Reactions
58 Replies
3K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema amesema atamshauri Mwenyekiti mpya wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu kuanda mkakati wa kumuaga rasmi na kutambua mchango wa Mwenyekiti Mstaafu wa...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom