Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

“Nimemuona Mzee Wasira, amekuwa Serikalini kwa zaidi ya miaka sitini sijui sabini tangu akiwa na miaka sijui ishirini mimi sijazaliwa, anataka atengeneze kwamba anataka kutengeneza kama mabishano...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Huyu ni Rais wa 6 Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar na kuunda nchi mpya Tanzania. Marais 5 waliopita wote walizaliwa na huyu wa Sasa alivyozaliwa. Lakini hatujawahi kuona sherehe za...
11 Reactions
52 Replies
2K Views
Tunamkumbusha tu Mzee Wassira Kiongozi wetu kipenzi hapa CCM kwamba Mzee Aikael Mbowe asingetoa Nauli huenda Zanzibar ingepata Uhuru kabla ya Tanganyika Ahsanteni
1 Reactions
13 Replies
615 Views
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA. Kama unataka na wewe, au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri upige kura ya mabadiliko kwenye...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Wewe ni Kijana Me au Ke, Umeajiriwa au haujaajiriwa , Amka nasema Sasa basi !!. Umasikini na Ukosefu wa Ajira Nchini kwetu ni wa kutengeneza tu na kua na viongozi wasio Wazalendo, wasowajibika...
1 Reactions
5 Replies
576 Views
Ktk mahojiano yake ya hivi juzi alisema No reform no election maana yake kwamba atafanya maandamano makubwa kuzuia uchaguzi. Mwandishi aliposema hio itakuwa vurugu? Akajibu kwamba ndani ya Katiba...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Jana Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA Tundu Lissu, alikwenda kwa mara ya kwanza makao Makuu ya CHADEMA kama Mwenyekiti wa chama hicho. Lakini tangu ashinde nafasi hiyo mambo mengi yamesemwa dhidi yake...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema wakili msomi Tundu lisu anaongoza jopo la mawakili Leo kesi ya Dr slaa
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Wakuu, Hivi karibuni nimeona miradi mingi ya barabara inazinduliwa kwenye sehemu mbalimbali za Tanzania. Kila kitu cha habari ni wabunge na Mameya wa CCM wakizindua miradi mbalimbali ya barabara...
0 Reactions
5 Replies
481 Views
Mjumbe Wa Mkutano Mkuu Wa Wazazi CCM Taifa Ndugu Mrisho Kamba amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kinajaribu kueneza na kupandikiza chuki kati ya vijana na wazee kwa maslahi yao...
0 Reactions
4 Replies
489 Views
Trump amesema binadamu wa Leo wamejikita Kwenye Maigizo ndio sababu Wanasayansi wanaleta Artificial intelligence Kwenye kila sekta Ili walau kupata uhalisia Fulani Trump amedai ataiondoa dunia...
0 Reactions
1 Replies
243 Views
Wanaukumbi. Kwa hali ilivyo ni wazi kuwa Chadema, hawawezi kujipanga na uchaguzi kwa muda uliobakia kwa sababu nyingi sana zikiwemo za kuwa ombaomba na kukosa fedha za kuendesha zoezi la...
1 Reactions
64 Replies
2K Views
"Ndani ya nchi yetu kuna vibaraka ambao wanasema CCM imekaa muda mrefu sana, na mimi nawauliza walikuwa wapi wakati tunadai uhuru, nawauliza tulipokabidhiwa uhuru tulipatana nao tutakaa kwa muda...
0 Reactions
4 Replies
420 Views
Wapiga kura wapya 102,668 wanatarajiwa kuandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Manispaa ya Lindi kupitia zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa taarifa za wapiga kura lililoanza...
0 Reactions
1 Replies
365 Views
Lisingekuwa Vuguvugu la kumng'oa Mbowe hizi Dakika za Mwisho kwangu mimi ungeniuliza nani anastahili kuwa Mwenyekiti baada ya Mbowe ningesema ni Heche. Leo nimewasikiliza wote(Lissu&Heche) Hotuba...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu, Uchawa ni kansa ambayo tunaulea, siku vikibumbuluka tutajita sana! ===== Kupitia ukurasa wake wa Insta@Gerson Msigwa ameandika haya; Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na...
0 Reactions
3 Replies
696 Views
Tukiwaambia kwamba hakuna alichofanya Cha maana Mwendazake kwenye Barabara za lami wakati wa Uongozi wake muwe mnaelewa. Imagine Hadi Leo hii huwezi fika Kigoma bila kutembea kwenye mavumbi na...
10 Reactions
273 Replies
37K Views
Na Cathbert Kajuna - Kajunason Blog/Michuzi TV, Manyara. Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga (kwanza kushoto) leo Januari 29, 2025 amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Bw. Michael...
1 Reactions
0 Replies
487 Views
Albert Chalamila, akiwa Mkuu wa Mkoa katika mikoa tofauti, alijipatia umaarufu kutokana na kauli zake tata na zingine ambazo mara nyingi ziliwaacha watu hoi. Akiwa katika Mkoa wa Mbeya, aliwahi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika siasa, neno "chawa" hutumiwa kama matusi au dhihaka kumwelezea mtu anayemuunga mkono au kumtetea kiongozi fulani kwa upofu, bila kuuliza maswali au kuzingatia ukweli. Tujiulize Lissu na...
1 Reactions
2 Replies
445 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…