Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Sikiliza mwenyewe kupitia hii link https://x.com/EggleVuvu/status/1885185539365564674?t=eqx2xm8OPAYKondHhO_7DQ&s=08
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Akiongea Ukurasani kwake X mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao makuu ya DRC Mashariki zamani Zaire Kwa Sasa DRC Mashariki ndio huko Goma...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Ni angalizo tu Vita inayopiganwa Kati ya DRC na M23 ni ya Kiuchumi zaidi Tusifanye kihelehele tuusome mchezo kwanza 🐼
2 Reactions
17 Replies
561 Views
Askofu Mwamakula amesema aliyekuwa mgombea uenyekiti wa Bawacha Celestine Simba hajakata rufaa Kwenye chombo chochote dhidi ya Mwenyekiti wa Bawacha Sharifa Suleiman Askofu Mwamakula amesema...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kuna watu wanaamini Tundu Lisu ataleta maajabu makubwa ktk uongozi wa CHADEMA. Lissu ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wa Tanzania au Afrika Makundi ya kumuunga mkono na kumchawia Maslahi ya...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Sasa hivi tutawaona sana vijiweni, kwa mama ntilie, kwenye bodaboda, kwenye michezo hasa ligi za kisiasa( diwani / mbunge cup) nk PIA SOMA - LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na...
3 Reactions
6 Replies
612 Views
Maana hata Chadema wamesema kuanzia 2026 kutakuwa na Chadema Day kila January 21 Siku ambayo Chadema ilipata Usajili Kamili CCM hoyeeeeee
0 Reactions
1 Replies
227 Views
Katibu wa vijana na uhamasishaji wa Taasisi ya Samia for Us, Gerald Mandago amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne amejenga shule nyingi...
0 Reactions
1 Replies
401 Views
Hiki Chama sasa kimebeba taswira ya nchi halisi ya waTZ,wale waliokua mashabiki wa mtu/watu kwa sasa wajue mtu hadumu ila systems/chama nzuri ikijengwa hudumu miaka na miaka. Ni bora watu...
2 Reactions
6 Replies
513 Views
Moja ya hotuba zake bora ni nadra sana kuzisika kwasasa.
18 Reactions
50 Replies
4K Views
LISSU na watu wake wanataka kuleta Vita . Mabeberu wanawatumia Akina LISSU kuleta Ushoga( anasahau kua CCM haijawah kupinga ushoga hadharani ) Tukiwapa Urais Amani itapotea. Amani ya Nchi hii...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Jasusi Yeriko Nyerere amesema kuelekea kufunga mwaka pamekuwepo na Ajali nyingi Sana za Ndege hivyo Makampuni yanayounda Ndege yaangalie kama Kuna itilafu yoyote kwenye Ndege zao Aidha Yeriko...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Kabla ya kuingia kwenye mapambano makali ya kudai maboresho ya Katiba na Sheria bora za Uchaguzi, nadhani CHADEMA wangefanya yafuatayo kwanza:- 1. Iandaliwe orodha ya maboresho muhimu ya Katiba...
1 Reactions
3 Replies
309 Views
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Watanzania wengi matumaini yao yapo kwa chadema chini ya mh Tundu Lisu, nasikia mmejifungia chumbani mlete ajenda nzito nzito kweli kweli zidi ya...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
sitaki sana kusema mengi kwako samia, kwa sababu najua pia kama ccm ingeamua kupiga kura kuchagua mgombea urais, ungeshindwa. ila waliamua kuivunja katiba ili kukufanya kuwa mgombea pekee. sasa...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Matusi ya Donald Trump Rais wa Marekani kwa wananchi na viongozi wa Dunia ya Tatu, hasa Afrika, yamekaa mahali pake. Wenye akili tunaambiwa kwa sauti kubwa: OMBA OMBA YENU TUMEICHOKA! Hapo ndio...
22 Reactions
99 Replies
5K Views
Ndugu wanahabari! Karibuni sana kwenye tukio letu hili ambapo leo CUF- Chama Cha Wananchi kinaongea na Umma wa Watanzania, hususan Wazanzibar kupitia vyombo vya habari.Tunaanza kwa kumshukuru...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA 2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini 3. GAMBO - apambane sana Soma Pia: Ushindani utakuwa ni...
6 Reactions
58 Replies
4K Views
Hivi viongozi wetu wamesoma hii document ya Azimio la Arusha? Pesa tunaitaka, lakini tusifikiri yenyewe ndiyo italeta maendeleo ya nchi. Mikopo inaturudisha nyuma inafanya tuishi maisha magumu...
1 Reactions
1 Replies
510 Views
Back
Top Bottom