Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenendo wa makahakama za Tanzania kwa utoaji haki kwa masuala nyeti kama ya haki za kisiasa na kikatiba imekuwa ikiingiliwa sana. Majaji wa Tanzania na Mahakimu wengi ni wafungwa wa Executive...
5 Reactions
6 Replies
849 Views
Waziri wa Mazingira wa Kenya mh Duale amewataka Wakenya wanaolalamikia ukarabati wa Ikulu ya Nairobi waende Tanzania au Misri wakaone Wenzao walivyo na Ikulu za kisasa Duale amesema Magufuli...
4 Reactions
7 Replies
913 Views
Ama kwa hiari (kupenda) au kwa lazima (shuruti) ni wakati muafaka sasa kwa majeshi ya Tanzania kuingia moja kwa moja uwanja wa vita (Full scale) huko DRC ili kurejesha amani na kuwafutilia mbali...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna dhana kwamba Chadema wakipewa Uongozi wa Nchi na wananchi hawataweza kuongoza Mimi Nadhani Chama chochote cha siasa hata kile TLP au CHAUMMA vina uwezo wa kuunda serikali muhimu ni Ilani tu...
0 Reactions
6 Replies
479 Views
Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangala anasema Wabunge waliopata kuwa Mawaziri wanapata wakati mgumu wanaotaka kuikosoa Serikali Kwa Sababu wao ni Mawaziri Wastaafu Kigwangala amesema ni Nishai...
2 Reactions
6 Replies
702 Views
Watu wanne mkoani Rukwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kumuua kwa kumkata kwa panga ndugu yao Mashaka Sichone, mkazi wa kijiji cha Kalepula, wilaya ya Kalambo ambaye alikuwa Katibu...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakati vyama vingine vya kisiasa viko usingizini na vingine vikibabaika na mjadala wa kuunganisha nguvu ama laa, Chama Cha Mapinduzi CCM tayari kimeshakamilisha maandalizi muhimu ya ndani kuhusu...
1 Reactions
13 Replies
569 Views
Wakuu, Tulia anasema hana presha yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu 2025. Katika Mahojiano Maalum aliyofanya na ManaraTv Dkt.Tulia ameeleza kuwa hakutakuwa na ugumu wowote kutokana na mambo yaliyokuwa...
0 Reactions
6 Replies
612 Views
Wanajeshi wa TZ na SA wamekufa Congo sasa ni ama sisi ama PK na tunajua anafadhili M23. Hilo lipo wazi. Sasa inafaa anyoooshwe bila huruma kwa kupigwa ardhini, Rwandair na kumrudisha Balozi na...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Serikali nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, zimekuwa vibaraka wa mataifa ya nje, hali ambayo inachangia kung’ang’ania madaraka, chaguzi zisizo huru, na ulinzi wa kimataifa kwa tawala za...
0 Reactions
4 Replies
661 Views
Mbunge wa Vijana, Mhe. Amina Ali Mzee amewaomba vijana wa Tanzania kujitokeza kwa wingi tarehe 04/02/2025 katika CCM @48 Marathon & Bash iliyoandaliwa na UVCCM kwa ajili ya kuchangia Damu 🩸 kwa...
0 Reactions
2 Replies
378 Views
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi—ardhi yenye rutuba, madini, gesi, wanyamapori, na rasilimali watu. Licha ya baraka hizi, bado inakabiliwa na umasikini na ukosefu wa maendeleo ya kweli...
3 Reactions
11 Replies
944 Views
Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali. Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu. =========== -Kamanda Barlow alikuwa na...
95 Reactions
483 Replies
68K Views
Wakuu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Februari 3, 2025 linaendelea na mkutano wake wa 18 ambapo, pamoja na Kipindi cha Maswali na Majibu, linatazamiwa kujadili hoja za kamati...
0 Reactions
2 Replies
698 Views
Iko habari inasema mpaka Leo Wahaya 2 wameisha fariki Dunia kwa maradhi ya Murburg na 92 wapo karantini Nina hakika Mh hati Rais Magufuli Angekuwa hai angewauliza Wahaya kwa Nini maradhi kama haha...
2 Reactions
4 Replies
454 Views
NInavyofahamu Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama ni nafasi kubwa sana, uteuzi wake inabidi uwe wa umakini mkubwa na utulivu na siyo lazima ufanywe baada ya Uchaguzi tu kwa karibu nafasi zote kama...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Shirika linalosimamia Utalii Duniani limeipongeza Serikali ya Tanzania Kwa kuwa na sera Bora zinazovutia Watalii na kufanya Nchi yetu kushika nafasi ya 6 Duniani Kwa Nchi zilizovutia Watalii wengi...
3 Reactions
19 Replies
862 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdulrahman Abdallah, amesema wanasiasa wa vyama vya upinzani hawana cha kuwaeleza wananchi juu ya kile walichokifanya, na kwamba...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha bwana Paul Makonda amempongeza Rais Samia Kwa kuleta Mabadiliko kwenye sekta ya Utalii ambayo yameleta mzunguko mkubwa wa hela Mkoani Arusha sanjali na kumimina wawekezaji...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Shirika la Fedha Duniani IMF linasema Mwaka 2024 utashududia uchumi wa Dunia ukipungua Kasi ya Ukuaji wake Kwa miaka 3 mfululizo. Licha ya kupungua uchumi wa Dunia ila upande wa pili Kuna habari...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…