Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Leo ndio ile siku ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM baada ya kuona matangazo mengi toka kwa chawa wa mama. Watakuja na kubwa gani leo, wacha tuone...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hili ni Swali ambalo naliekeza kwa Mamlaka za soka za Tanzania ikiwa ni pamoja na TFF. Inawezekanaje mambo haya yakafanyika na AZAM TV wakarusha hewani Dunia nzima? Angalau tuliwahi kuona picha...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Hawa jamás CCM Wametufanya watanzania kama mandondochaa. Wanajipigia hela kama hawana akili nzuri..ndiyo maana wanarisisha madaraka Kwa watoto wao.
3 Reactions
8 Replies
685 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
👉Kwa Nia njema Nina Machache kuhusu maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama changu Cha Mapinduzi (CCM), niseme tu kwamba CCM inahitaji kufanya 'Reform' yaani Mageuzi au Mabadiliko ili kutengeneza ari...
3 Reactions
17 Replies
958 Views
Wakuu, Michael Msechu akiwa na bodaboda, mamalishe na wamachinga mitaani kusherehekea miaka 48 ya CCM madarakani
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Hasham amesema kuwa kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita, hata kama hatapata tiketi ya ubunge, atahakikisha Rais Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
0 Replies
393 Views
Timu ya Wataalam ya kampeni ya msaada wa kisheria wa mama Samia Legal Aid (MSLAC) ikiongozwa na Salome Mwakalonge ambaye ni Mratibu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria imeendelea kutoa elimu ya...
0 Reactions
3 Replies
476 Views
Hellow Tanganyika, USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado...
18 Reactions
120 Replies
4K Views
"TRUMP ASITISHA MISAADA YA NJE KWA SIKU TISINI, WHO YAAHA KUTAFUTA NJIA YAKUJIKWAMUA KWA KITISHO CHA TRUMP " Anaekulisha anakutawala anae kuvisha anataka umnyenyekee alisema Castro badae Sankara...
0 Reactions
4 Replies
495 Views
Wakuu Hivi CCM hamnaga mfumo wa vetting kudhibiti nani ataongelea chama chenu? Hizi kauli mnataka wanaume wazichukuliaje? Na huyu anayejiita Queen ni nani ndani ya chama chenu mpaka awatolee...
4 Reactions
62 Replies
3K Views
Hawa mabeberu siyo wa kuwachekea hata kidogo. Hii tuzo ya Gates Goalkeeper siyo ya mabeberu hii?
1 Reactions
14 Replies
881 Views
Huyu Mzee naona anakoelekea siko kabisa, ni mwendelezo wa kujikomba. Akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya CCM ametoa kauli hiyo.
2 Reactions
2 Replies
460 Views
Tukiwa tunaelekea kuufunga mwaka 2023, na CCM kikiwa kimeshika madaraka kwa miaka 46 mfululizo toka kilipozaliwa mwaka 1977 Je! Kwa tathimini ya haraka, chama hiki tunaweza kukifananisha na sehemu...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Asilimia kubwa sana ya Watu wana MAISHA MAGUMU Asilimia kubwa ya vijana hawana AJIRA Lazima CCM watashindwa au kuwa wa mwisho au kushika Mkia Je, CCM watapata kura wapi wakati asilimia kubwa ya...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakuu nimeona Msanii Stan Bakora akiwa na mwijaku wanaigiza kama wamepatwa na kichaa huku wanagalagala chini, lengo likiwa ni kusheherekea miaka 48 ya CCM. Soma pia: Pre GE2025 - Wasanii...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Haki ya kupiga kura ni mojawapo ya haki za msingi za kiraia inayowapa raia uwezo wa kushiriki katika mchakato wa kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wao na kushiriki katika maamuzi ya serikali...
1 Reactions
2 Replies
653 Views
Wakuu Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa...
5 Reactions
67 Replies
3K Views
Wakuu nimeona Hawa Gasia - Mjumbe wa Kamati ya UtekelezajI UWT akieleza kuwa baada ya Rais Samia aje tena Rais mwanamke. Kupata taarifa na matukio kuelekea uchaguzi mkuu 2025 kwa kila mkoa ingia...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Leo Februari 5, Chama Cha Mapinduzi kimetimiza miaka 48 tangu kianzishwe. Chama hicho kinaadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake mkoani Dodoma ambako Mwenyekiti wake wa Taifa, Rais Samia Suluhu...
2 Reactions
1 Replies
443 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…