Je! Unaweza kuifananisha CCM na nini?

mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
4,575
9,816
Tukiwa tunaelekea kuufunga mwaka 2023, na CCM kikiwa kimeshika madaraka kwa miaka 46 mfululizo toka kilipozaliwa mwaka 1977 Je! Kwa tathimini ya haraka, chama hiki tunaweza kukifananisha na sehemu gani katika nyumba ama jengo ambalo ndani yake wananchi wanaishi?

Je! Inaweza kufananishwa na jiko, ambapo ndani yake mapishi mbalimbali ya fikra pevu huandaliwa na kupikwa kwa ajili ya wananchi? Je! Tuifananishe na "dining room" ambapo wananchi hujumuika kupata lishe mbalimbali kupitia milo tofauti ya kila siku?

Je! Tuifananishe na "living room" ambapo wananchi wanakaa kwa ajili ya mijadala, mapumziko ya muda, maongezi, kuburudika, ama hata kuonana na wageni mbalimbali? Je! Tunaweza kuifananisha na "bed room" ambapo wananchi waliochoka na pilikapilika za kila siku wanaweza kumpumzika kwa muda mrefu?

Je! Chama hiki unaweza kukifananisha na sehemu ipi katika nyumba zetu?
 
Naifananisha CCM na Taasisi iliyoshindwa kazi lakini bado inang'ang'ia uwepo wake kwa kutumia hila hadaa na nguvu na intimidation pamoja na wizi wa kura na mizengwe.
 
Naifananisha CCM na Taasisi iliyoshindwa kazi lakini bado inang'ang'ia uwepo wake kwa kutumia hila hadaa na nguvu na intimidation pamoja na wizi wa kura na mizengwe.
Tatizo hatuna mbadala wa CCM. CCM kama organization imesukwa vizuri ndiyo sababu ni stable at the same time strength yake ndiyo weakness kubwa kwamba pamoja na kusuiwa vizuri actors wake wengi hawana vision na wameamua kuwa wabinafsi
 
Tukiwa tunaelekea kuufunga mwaka 2023, na CCM kikiwa kimeshika madaraka kwa miaka 46 mfululizo toka kilipozaliwa na mwaka 1977 Je! Kwa tathimini ya haraka, chama hiki tunaweza kukifananisha na sehemu gani katika nyumba ama jengo ambalo ndani yake wananchi wanaishi?

Je! Inaweza kufananishwa na jiko, ambapo ndani yake mapishi mbalimbali ya fikra pevu huandaliwa na kupikwa kwa ajili ya wananchi? Je! Tuifananishe na "dining room" ambapo wananchi hujumuika kunapata lishe mbalimbali kupitia milo tofauti ya kila siku?

Je! Tuifananishe na "living room" ambapo wananchi wanakaa kwa ajili ya mijadala, mapumziko ya muda, maongezi, kuburudika, ama hata kuonana na wageni mbalimbali? Je! Tunaweza kuifananisha na "bed room" ambapo wananchi waliochoka na pilikapilika za kila siku wanaweza kumpumzika kwa muda mrefu?

Je! Chama hiki unaweza kukifananisha na sehemu ipi katika nyumba zetu?
Chama cha matapeli (CCM)
 
Naifananisha na Pauline Gyekuli.

Inatufanya kama alivyomfanya yule kijana kule Manyara!!
 
Wananchi tunaamini kuna mbadala ndio maana kila tukichagua mbadala CCM wanamleta JECHA kuharibu Uchaguzi.

Tunaoamini katika mbadala ni sisi Wananchi na sio Chawa kuja Jf kutupangia.
Anzeni kuwa na democracy ndani ya chama chenu kwanza ndipo Mje mtuambie ni mbadala
 
Kama Gestapo, secret police ya Adolf Hitler,
Au, intelahamwe, chama cha Juvenal habyarimana, chama cha the late Raisi wa Rwanda.
 
Back
Top Bottom