Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake...
24 Reactions
896 Replies
43K Views
Wakati Rais wa nchi anakula maisha na private jet, Na kufurahia tuzo zisizokuwa na tija kwa watanzania ambao wengi bado wanaishi chini ya dola moja, jiji la Dar es Salaam lenye shule za sekondari...
6 Reactions
73 Replies
3K Views
Maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Miaka 48 iliyopita hali haikuwa kama iliyokuwa sasa hivi kwenye Shirika la Ndege Hivi sasa Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) limeendelea...
1 Reactions
3 Replies
537 Views
Someni Wenyewe halafu Toeni Maoni yenu.
14 Reactions
78 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Maneno haya yanaweza kuwa na maumivu makubwa sana kwa upinzani wa Nchi hii na kuonyesha pengine kuwakatisha Tamaa. Lakini huo ndio ukweli wenyewe na ndio uhalisia wenyewe...
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Salamu! Mimi ni muumini na mdau kindakindaki wa huduma endelevu za afya chini ya uwekezaji wa Watanzania wenyewe. Nimesimama na hoja hii kwa muda mrefu na nitasimama nayo hadi kieleweke...
0 Reactions
6 Replies
598 Views
Leo siwalaumu wanasiasa wa pande zote na pia siwalaumu wananchi ...siwalaumu kwa kuwa ni vyema kukosea na kujifunza...mimi najitoa kwenye makundi hayo mawili kwani nimeshawahi kuchangia mara...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Eric Shigongo amemshauri Rais wa Marekani, Donald Trump kusitisha uamuzi wake wa kuzuia misaada kwa nchi za Afrika, kwa sababu akifanya hivyo Waafrika wengi watapoteza maisha. Akiwa nchini...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa sababu watanzania wengi ni wajinga, wamezoea kudanganywa, wanadanganyika, wanapenda kudanganywa na hawapendi kuambiwa ukweli. Kumekuwa na changamoto ya sera ya afya inayotaka huduma za uzazi...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Sijui mwaka huu tawadanganya na nini? mSIKILIZE 2020 NA AHADI ZAKE
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu Mzee Stephen Wasira anasema nia ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kuwapatia Wananchi Maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi. Soma, Pia: Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo...
2 Reactions
13 Replies
931 Views
Mungu ni Alfa na Omega. Sijui ikiwa CCM ni lango la ufalme wa mbinguni wanaheri wanaoikimbilia! Ole wenu ikiwa CCM ni lango la kuzimu nisawa na kumwabudu mfalme Sanekarebu kwa kuogopa kuuawa...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu Uchaguzi unakuja, Oktoba 2025 sio mbali, lakini wote tunashuhudia vijana wengi wamegeuka "machawa" na kupoteza mwelekeo wa kisiasa. Badala ya kujadili sera, ajira, elimu, na uchumi...
2 Reactions
16 Replies
727 Views
Kasi ya Trump kwenye kutekeleza maamuzi magumu ni kubwa sana, natamani Rais wetu Samia na yeye awe na hii kasi. Hata Tanzania kuna taasisi kibao zinafilisi serikali hakuna cha maana zinazofanywa...
0 Reactions
8 Replies
770 Views
Kwanini kikao kisifanyike makao makuu? Badala ya kufanya Bagamoyo?
6 Reactions
90 Replies
4K Views
Hii Tumeileta kwa ajili ya Kuweka Kumbukumbu sawa kwa Wadau wa JF na Wengineo Mungu Ibariki Chadema
33 Reactions
86 Replies
4K Views
Wakuu Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Sina chuki na watu niliowataja hapo juu. Ila kiasili na kimatendo wana roho mbaya, wachoyo, na zaidi ni wabaguzi wa kunuka. Ukiwakaribisha kwenye nchi yako jua watataka wakutawala, wakubague...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu, Wakati napiga patrol zangu huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Biteko akiwa kwa mara nyingine anawasema TANESCO. Kwenye hii clip Biteko, analalamika kuhusu ubovu wa huduma kwa...
4 Reactions
14 Replies
827 Views
CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu, Waanza kazi rasmi. Wajipanga na kujikoki kwa uchaguzi ujao. Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya...
14 Reactions
60 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…