Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel, amechukua fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meatu, Zahra Michuzi Zahra Michuzi amechukua fomu ya kutia nia kwa nafasi Mbunge wa Viti Maalum kwa Mkoa wa Tabora.
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za...
Maoni ya Mchambuzi wa Siasa, Said Miraji kuhusu Mchakato wa Uchaguzi wa Wagombea ndani ya Chama, alitoa maoni hayo Aprili 22, 2022 alipohojiwa katika Kituo cha Redio cha Bongo FM.
Ikiwa ni dakika za lala salama kwa wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe. Saashisha Mafuwe amekutana na kufanya kikao na waalimu wa Shule za Msingi na...
Jumuiya ya wazazi ya chama cha mapinduzi CCM Jimbo la Mchinga imemuunga mkono Mbunge wa Jimbo hilo mama Salma Rashid Kikwete kwa kumchangia Fedha kiasi cha shilingi laki moja zitakazomsaidia...
Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM )Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro wameanza kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu wa Udiwani,Ubunge na Rais unatarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba Mwaka...
Wakati zoezi la uchukuaji na urudishaji fomu Chama cha Mapinduzi (CCM) likiendelea kada wa Chama hicho Yussuf Kaiza Makame nae amejitosa kuwania kiti cha Uwakilishi Jimbo la Mtambile Mkoa wa...
Aliyekuwa Mshindi wa Pili MNEC mwaka 2022 Walter Rishaeli Nnko, Leo June 29 amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kibamba lililopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo jijini Dar...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Manjale Magambo amechukua fomu kuomba uteuzi wa kuwania ubunge katika Jimbo la Geita Mjini.
Magambo amekabidhiwa fomu hiyo...
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 (GE2025), taifa letu linakabiliwa na maswali magumu kuhusu hatima ya demokrasia, uwajibikaji na uadilifu wa kisiasa. Kwa zaidi ya miongo sita, mfumo wetu wa...
Dkt. Catherine Joachim, Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati ya Afya na Mazingira, Umoja wa Wazazi Taifa, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum katika Umoja wa...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende Pamoja na Mama Sports Promotion na Mkurugenzi wa Makunduchi Villa Mohamed Haji, leo Juni 29, 2025 amechukua fomu ya nafasi ya ubunge wa Jimbo la Kigamboni jijini...
Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake...
https://www.youtube.com/live/oU5eT7Dimu0?si=BYYHRNCBHOz_0_ye
Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji...
0-0Wapambe wa demokrasia, kwenye Ilani ya CCM ya 2020–2025 kulikuwapo kipengele kilidhamiria kuunda ajira milioni 7 kwa vijana kupitia empowerment, training na access to low‑interest loans ...
Ndugu Haidary Gulamali Leo jumamosi Tar 28/6/2025 amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kuwania nafasi Ubunge katika jimbo la ilongero Singida Vjjijini
Gulamali amekabidhiwa...
Ndugu wana wa Tanzania.
Usije ukakimbilia Ubunge ukasahau udiwani wa Katika Halmashauri yako. Nafasi za Udiwani ni nafasi muhimu sana katika Maendeleo ya Halmashauri yako.
Katika Uanzishaji na...
Kada machachari wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Jamal Mangu, leo Juni 29, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Nyang’hwale, lililopo wilayani...
Mambo vp wakuu..
Kuna hili linaloendelea nchini la uchukuaji wa fomu za kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM..
Kwa sisi content creators tumeshtukia mchongo na tumegundua ni sehemu ya contents za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.