Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Lulindi, Issa Ally Mchungahela, amezitaka mamlaka zinazohusika na uteuzi wa viongozi kuhakikisha zinatoa ushauri wa kitaalamu kwa Rais, ili kuepuka changamoto zinazotokana na...
0 Reactions
1 Replies
507 Views
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Esther Mahawe amefariki Dunia katika Hospitali ya KCMC Mkoani Kilimanjaro kwa mujibu ya taarifa za awali zilizotolewa na ndugu wake wa karibu. RAIS SAMIA...
9 Reactions
95 Replies
8K Views
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuuliza Serikali kupeleka maji kwenye taasisi za shule na vituo vya afya na...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Wakuu, Katibu wa Siasa Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Mohamed Msalu amesema kuwa nchi ya Tanzania ni ya vyama vingi hivyo linapokuja swala la...
1 Reactions
16 Replies
860 Views
Tulishasema humu mara kadhaa kwamba Viongozi wa Nchi hizo hawana uwezo wa kutatua chochote zaidi ya kuiba kura na kusimamia mauaji ya wanasiasa wa upinzani. Hebu angalia kilichofanyika Kwenye...
1 Reactions
13 Replies
775 Views
ALIYEKUWA mkuu wa wilaya ya Njombe na mwanahabari mkongwe Bi Sarah Dumba amefariki dunia ghafla akiwa wilayani Njombe mkoa wa Njombe. Mkuu huyu wa Wilaya amefariki usiku huu kwa Presha na...
6 Reactions
207 Replies
43K Views
Wakuu, Wasanii/wanamichezo na vijana wanazidi kuaibisha wakiongozwa na huyu kijana aliyepata nafasi ya kuhakikisha sekta ya sanaa, michezo na utamaduni inasimama vizuri na wasanii wananufaika na...
1 Reactions
5 Replies
565 Views
Wakuu Mzee Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara akiwa Clouds FM leo Februari 13, amesema; "Tume ya uchaguzi ya Mwaka 2015 iliyowapa wabunge wengi wapinzani ni...
1 Reactions
4 Replies
699 Views
13 February 2025 Unguja Zanzibar, Tanzania Wawekezaji 30 kutoka Saudi Arabia wafanya ziara maalum nchini Tanzania - SADC https://m.youtube.com/watch?v=M0oksDu6e44 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti...
0 Reactions
1 Replies
435 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kumekuwa na utamaduni na tabia ya baadhi ya watanzania wachache wenye wivu na chuki binafsi za kuchukua picha mitandaoni kutoka Nchi za nje ya Tanzania na kuziweka...
4 Reactions
175 Replies
9K Views
Laiti ningepata nafasi ya kukutana na wewe, ningekupa nasaha zangu kama 3 ila sina uwezo huo nimeona niliseme hapa huwenda litakufikia na Utakumbuka ulikotoka. Ila bado naomba nafasi ya...
2 Reactions
3 Replies
325 Views
Mei 2019 , Serikali ilisitisha mradi mkubwa wa Bagamoyo SEZ , Kiongozi wa chama Zitto Zuberi Kabwe aliandika makala akionesha umuhimu wa mradi huu na namna serikali ya awamu ya tano namna ambavyo...
7 Reactions
38 Replies
7K Views
Wakuu, Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyassa Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema kwa sasa CCM kimepoteza mvuto kwa sababu kimeshindwa kufikia...
3 Reactions
4 Replies
670 Views
Wagombea wa chadema makumi kwa maelfu wameenguliwa nchi nzima kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu. Sioni sababu ya kwanini chadema iendelee kushiriki uchafuzi huu ambao Askofu Bagonza...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu, Kabla ya kampeni ukitaka kumsogelea Mwigulu au kiongozi mwingine mwananchi atapigwa roba chaaaaaa, labda kama kiongozi atasema mwacheni asogeee tumsikilize, mpeni mike! Kupata taarifa na...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Akiwa nyumbani kwao Tarime, John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi pamoja na familia yake
0 Reactions
4 Replies
758 Views
Wakuu, Lissu asema kitendo cha kiongozi wa upinzani kukamatwa kwa nchi inayojiita ya kidemokrasia ni aibu, akaongeza kama wanafanya hivi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye uchaguzi mkuu...
0 Reactions
2 Replies
577 Views
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amedai katika uchaguzi uliofanyika wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji kulikuwa na kura nyingi za bandia katika maeneo mbalimbali...
1 Reactions
2 Replies
704 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kampuni mbili kubwa, Adani Group ya India na Gridworks Development Partners LLP ya Uingereza, zimeonesha nia ya kuwekeza katika mradi wa kusafirisha umeme nchini Tanzania...
6 Reactions
205 Replies
8K Views
Wakati Novemba 27, 2024 ikiwa ni zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, mkoani Kigoma tangu asubuhi kumeshuhudiwa malalamiko ya uwepo wa kura feki licha ya wimbi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom