Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5.
Shaibu amesema chama chake cha...
Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Pangani mkoani Tanga, Jumaa Aweso amesema kukamilika kwa Daraja la Mto Pangani na Barabara ya Tanga- Pangani- Saadani- Bagamoyo kutafungua fursa nyingi za...
Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Grace Shiyo amesema CCM hakuna uhuru wa kutoa mawazo, bali mawazo ya Mwenyekiti ndiyo yanasikilizwa.
"Kwa ufupi CCM hakuna uhuru wa maoni, CCM siku zote...
Baada ya Kabudi kusema alitolewa JALALANI, Aweso naye amesema Wanapangani wametolewa PANGONI
"Nataka niseme Rais jambo ulilolifanya katika wilaya yetu ya pangani nataka nikuambie umetutoa pangoni...
Mkongwe Maalim Seif hadi anakwenda kwa muumba wake (Mwenyezi Mungu amrehemu na ampunguzie adhabu za kaburi) amefanya Kila jitihada za kuingia Ikulu ya Zanzibar lakini hakufanikiwa, hakuna mkakati...
Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika...
Nimeona picha za Mhe. Rais kuzindua Boti za Wavuvi huko Tanga.
Cha kusikitisha pamoja na nchi yetu kuzalisha Ma engineer tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mradi huo wa Boti za...
The UK must look again at international agreements, Conservative leader Kemi Badenoch has said.
In her first major speech on foreign policy, Badenoch said if the European Convention on Human...
Wakuu,
Yaani kwa kauli hii inaonekana hawa ACT kwanza kabisa watashiriki huu Uchaguzi na pa so far hawana hela za kuzunguka kufanya kampeni kufanya Uchaguzi...
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Balozi Omar Ramadhan Mapuri, tarehe 23 Februari, 2025 amefanya ziara ya kutembelea washiriki wa mafunzo ya watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la...
My Take
Nakubalina na PM π― π―
Kwenye suala la Maendeleo Samia hana mshindani Kila mtu anaona huko aliko ππ
---
RAIS DKT. SAMIA NI TIBA YA MAENDELEO β MAJALIWA
βͺοΈ Waziri Mkuu asema Rais Dkt...
Kuna habari nimieona ambapo madiwani wa Arusha mjini walikuwa kwenye kikao rasmi cha kazi. Jambo la kusikitisha ni kwamba hicho kikao kilikuwa kama kikao cha chama huku watu wenye maslahi yao...
Tanzania closer to finalising real estate law
Dar es Salaam. The Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development has engaged various stakeholders in the ongoing process of reviewing...
Huyu Mtu anaishi ,Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi. Kuanzia tarehe 16/3/2023 wilaya ya Chato ilianza kufurika wageni wakija kuadhimisha miaka miwili ya kufariki dunia kwa Dk Magufuli, hata kwenye...
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa, Zainabu Mwamwindi ametoa wito kwa wanachama wa UWT Wilaya ya Iringa Vijijini kuwa makini na matukio ya utekaji kwa kupigiwa simu na kufuata maelekezo pasipo...
Hiyo ni orodha ya vinara wa Upinzani waliotikisa Nchini kuanzia 1992 hadi Leo
Wengi wakiwa wenyeviti wa vyama lakini Kafulila aka Tumbiri aliitikisa Escrow hadi Singasinga akatupwa Jela na Zitto...
Kuna watanzania wamepanic kuhusu M23 kuchukua eneo la Goma DRC na kauli ya Paul Kagame wa Rwanda.
Ndugu zangu vita sio jambo la mchezo wala la kuliomba. Lakini pia tukumbuke hakuna nchi ndogo...
Akizungumza leo, Jumatatu, Februari 24, 2025, katika mkutano wa hadhara wilayani Lushoto, Makamba amesema kuwa uzinduzi wa jengo la Halmashauri la Bumbuli ni kielelezo cha shukrani na mapenzi ya...
Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko.
Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa...