Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Kumbe Heche na Lissu walikuwa na mpango wa kando kuendeleza kampeni yao ya No Reforms No Election ukiachana na kuwaambia watu walale barabarani Erythrocyte nimeanza kukuelewa sasa...
8 Reactions
91 Replies
4K Views
Wakuu, Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Hussein Egobano, amewasihi vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujiepusha na makundi ya uchaguzi na badala yake waendelee kudumisha mshikamano...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Wakuu, RC Simiyu Kenani kihongosi amewataka wachimbaji wadogo kutoshawishiwa na wanaharakati kufanya migomo na maandamano kwani wanachokitafuta wao ni ugali wa familia zao tu. == Wachimbaji...
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar Es salaam ndugu Ally Bananga akimpokea kada wa Chadema aliyehamia CCM Ndugu Elia Benadin Mlewa alikuwa akihudumu nafasi ya katibu mtendaji wa Mtandao...
1 Reactions
1 Replies
384 Views
MKUTANO WA JPCC WAZAA MATUNDA: WAZIRI KOMBO AREJEA NA MAKUBALIANO MUHIMU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amerejea nchini baada ya...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Japo inaendeshwa kwa fedha ya walipa kodi wengi maskini na wanyonge, ofisi ya Mwendesha Mashitaka mkuu wa Serikali (DPP) ni chombo au zana yenye kila ukoloni na uvunjaji wa sheria hasa kuwa na...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Ofisi ya chadema makao makuu mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwa nini wasifanyie vikao hapo? Wanaenda kukodi kumbi za makumi ya mamilioni wakati wanalia chama hakina hela? Chama kinafanyia...
0 Reactions
13 Replies
990 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika...
12 Reactions
136 Replies
7K Views
Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi. Taarifa ya...
12 Reactions
78 Replies
10K Views
Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha. Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215. Wakaja kuipinga DP WORLD...
1 Reactions
84 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.amefanya uteuzi wa viongozi watatu. Ambapo katika uteuzi huo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Chawa wa mama salamaaa? Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga. Kupata...
11 Reactions
55 Replies
3K Views
Ukiyafuatilia ya Arusha mjini utashangaa sana na utajiuliza kama chama hicho kina uongozi wa kitaifa. Kuna ya kutisha na kuogopesha sana yanafanywa na Wahusika wenyewe pamoja na wapambe wao...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Naomba msaada kumwelewa Lisu yeye akipewa pesa na CCM hajalamba asali za CCM wenzie wakipewa wamelamba asali ya CCM Mfano kwenye mchango wa kuchangia ununuzi wa gari yake binafsi CCM ilitoa...
2 Reactions
13 Replies
820 Views
Hellow Tanganyika! Mzee Slaa ameshiriki kiasi kikubwa kuleta mabadiliko ya Fikra Nchi hii, mchango wake ni wa kupigiwa mfano. KAZI iliyo mbele yetu ni kulazimisha mfumo huu kandamizi kusikiliza...
4 Reactions
11 Replies
984 Views
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga, linaloongozwa na Mbunge Januari Makamba, wameeleza shukrani zao kwa Serikali kwa kuwafikishia miradi mbalimbali ya maendeleo kupitia mbunge wao, ikiwemo...
1 Reactions
1 Replies
431 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kutoa ruzuku kwenye miradi ya nishati ya gesi ya...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Umiliki wa Makampuni ya Madini Botswana Kampuni 1.Debswana Diamond LTD WAMILIKI Serikali ya Botswana (50%) De Beers (50%...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale" Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa...
6 Reactions
69 Replies
4K Views
Mh. Rais pole na majukumu yako ya kila siku na kubwa ni katika kuwaletea maendeleo watanzania. Natambua kuwa kwa nyakati tofauti tofauti ukipata nafasi huwa unapitia mitandao ya kijamii na kuona...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…