The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 586
- 1,697
Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
Taarifa ya Mkuu wa Chuo imeeleza kuwa leo tarehe 22 Oktoba usafiri utakuwepo kuanzia 1:00 asubuhi kuwafikisha watumishi katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya, maeneo ya Usa River.