Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Hapa, watangazaji wa Crown FM wanadhihirisha jinsi ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vimesahau wajibu wao wa msingi na kugeuka kuwa vyombo vya matumizi ya kisiasa. Soma: Wasafi, Clouds...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika vitu ambavyo vimeifanya CCM isurvive, au kupata ahueni ya kisiasa ni kwa sababu CHADEMA ya uongozi uliopita haikuchagua kuisagia kunguni CCM kisawasawa kwa wananchi juu ya kero...
10 Reactions
47 Replies
2K Views
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu...
19 Reactions
327 Replies
16K Views
Haya mambo ya kiwaki hawapaswi kuchukuliwa poa wazee. Mtu Gani anatukana wananchi ambao wanalipa Kodi na ndiyo nguzo ya taifa lolote. Hivi huyu chalamila anavuta bangi? Au ana matatizo Gani ya...
3 Reactions
4 Replies
428 Views
Jamani CCM ifike pahala muwe na huruma na nchi hii hata kama mna mpango wa kutawala milele. Itafika kipindi jamii ya nchi hii iwe kama jamii ya mazombi, maana hawa mazezeta mnaowaandaa ndio...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu, Mkutano wa nishati ambao walengwa wakubwa ni viongozi mbalimbali wa kimataifa na wenyewe ulihitaji "uhamasishaji" kutoka kwa Michael Msechu? Tunaenda wapi kama taifa? Balozi wa Mazingira...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
igweeeeeee Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025. Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Kufuatia kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Ndugu Tundu Lissu ya '𝑵𝒐 𝑹𝒆𝒇𝒐𝒓𝒎, 𝑵𝒐 𝑬𝒍𝒆𝒄𝒕𝒊𝒐𝒏' kumekuwa na 'reactions' nyingi kutoka kwa viongozi mbalimbali, matawi...
3 Reactions
7 Replies
798 Views
Kwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la...
11 Reactions
60 Replies
5K Views
Kinachofanyika kwa sasa ni propaganda inayolenga kuhusisha makundi yote katika jamii ionekane yanamkubali Samia ili uchaguzi wa Octoba hata yakitokea ya 2020 waseme mgombea alikuwa anakubalika...
0 Reactions
0 Replies
437 Views
Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga! Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa? ===================== Wanafunzi wa Shule...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Polisi walivamia ofisi za CHADEMA mapema leo asubuhi na kuzuia mkutano huo kufanyika wakisema wataleta usumbufu wakati mkutano wa nishati unaendelea, na kwamba wanatakiwa kughairisha...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndio hivyo..!😎 Katika kusherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia, Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) mkoa wa Iringa imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye Ulemavu na usonji wanaosoma...
0 Reactions
2 Replies
405 Views
Wakuu Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa...
6 Reactions
58 Replies
4K Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa mamlaka zinazohusika na usimamizi wa haki kuhakikisha Dkt. Wilbroad Slaa anapatiwa haki yake ya dhamana, kufuatia kukamatwa kwake...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Balaa sana, japokuwa tunajua hii mitungi imetoka CCM, hivi si wakirudi kuanza kulialia kwa watanzania kuomba msaada tuwakache? ===== Baadhi ya wasanii wa filamu nchini kwa kushirikiana...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Infact, Itakua ni mwisho wa unafiki, migawanyiko, chuki binafsi, tamaa ya madaraka na vita ya maneno miongoni mwa viongozi wake waandamizi na miongoni mwa wanachadema kwa ujumla. Itakua ni...
2 Reactions
63 Replies
2K Views
Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya...
1 Reactions
10 Replies
840 Views
Wanabodi! Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila mimi ni political advisor mzuri tuu, nimeisha wahi kuwa hired kuwa a political advisor wa taasisi mbalimbali kubwa tuu za...
15 Reactions
61 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa CCM Kibaha akimsifia Mbowe na kumtakia aendelee kuwa mwenyekiti wa chadema vinginevyo chadema itakufa. Huu urafiki unaooneshwa na ccm kwa Mbowe, hasa wakati huu wa uchaguzi wa...
5 Reactions
17 Replies
809 Views
Back
Top Bottom