Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanachama wanadai Prof. Lipumba hajafuata mchakato wa kikanuni wa kugombea uenyekiti, ikiwemo kutofuata utaratibu wa kuchukua fomu. Wanasema Lipumba hakuchukua fomu, hakurudisha wala kusaini na...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu Hawa ndio vijana tunaotarajia kuwa viongozi wa kesho, lakini badala ya kusimamia maslahi ya wenzao, wanajikita kwenye kampeni za kusifia bila hoja. Badala ya kushinikiza fursa na maendeleo...
1 Reactions
3 Replies
644 Views
Rais Samia ametoa angalizo kwamba CCM isitegemee historia kupata ushindi kwenye uchaguzi Mkuu Bali ijenge Sera zinazobeba matamanio ya Wananchi wa Sasa Ni lazima tujenge Sera za kuaminika mbele...
3 Reactions
16 Replies
827 Views
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Lindi kimewataka Vijana kujipambanua na kugombea nafasi mbalimbali za kiongozi ili nao wawe viongozi na sio kuwabebea mabegi Wagombea Ubunge na Udiwani...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Wakuu Wote tunakumbuka kipindi cha Magufuli mambo yalivyokuwa. Baada ya purukushani zake za kutishia wapinzani, kuzorotesha uchumi na mwisho kuona majority ya watanzania hawamkubali zikaanza...
7 Reactions
82 Replies
7K Views
Wakati Rais Samia anaingia Ikulu, baada ya muda mfupi vyama vya upinzani Tanganyika pamoja wanahabari wa kujitegemea wamekuwa wakipaza sauti zao juu ya Rais Samia katika uwongozi wake, Moja ya...
0 Reactions
3 Replies
431 Views
Wakati Rais wa nchi anakula maisha na private jet, Na kufurahia tuzo zisizokuwa na tija kwa watanzania ambao wengi bado wanaishi chini ya dola moja, jiji la Dar es Salaam lenye shule za sekondari...
6 Reactions
73 Replies
3K Views
Eric Shigongo amemshauri Rais wa Marekani, Donald Trump kusitisha uamuzi wake wa kuzuia misaada kwa nchi za Afrika, kwa sababu akifanya hivyo Waafrika wengi watapoteza maisha. Akiwa nchini...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Sijui mwaka huu tawadanganya na nini? mSIKILIZE 2020 NA AHADI ZAKE
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu Mzee Stephen Wasira anasema nia ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kuwapatia Wananchi Maisha mazuri, huwezi kuwa na nchi watu wanatembea uchi. Soma, Pia: Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo...
2 Reactions
13 Replies
931 Views
Mungu ni Alfa na Omega. Sijui ikiwa CCM ni lango la ufalme wa mbinguni wanaheri wanaoikimbilia! Ole wenu ikiwa CCM ni lango la kuzimu nisawa na kumwabudu mfalme Sanekarebu kwa kuogopa kuuawa...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu Uchaguzi unakuja, Oktoba 2025 sio mbali, lakini wote tunashuhudia vijana wengi wamegeuka "machawa" na kupoteza mwelekeo wa kisiasa. Badala ya kujadili sera, ajira, elimu, na uchumi...
2 Reactions
16 Replies
727 Views
Wakuu Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu, Waanza kazi rasmi. Wajipanga na kujikoki kwa uchaguzi ujao. Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya...
14 Reactions
60 Replies
4K Views
Wakuu, Leo ndio ile siku ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM baada ya kuona matangazo mengi toka kwa chawa wa mama. Watakuja na kubwa gani leo, wacha tuone...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Hasham amesema kuwa kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita, hata kama hatapata tiketi ya ubunge, atahakikisha Rais Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
0 Replies
393 Views
Wakuu, Michael Msechu akiwa na bodaboda, mamalishe na wamachinga mitaani kusherehekea miaka 48 ya CCM madarakani
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Wakuu Hivi CCM hamnaga mfumo wa vetting kudhibiti nani ataongelea chama chenu? Hizi kauli mnataka wanaume wazichukuliaje? Na huyu anayejiita Queen ni nani ndani ya chama chenu mpaka awatolee...
4 Reactions
62 Replies
3K Views
Huyu Mzee naona anakoelekea siko kabisa, ni mwendelezo wa kujikomba. Akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya CCM ametoa kauli hiyo.
2 Reactions
2 Replies
460 Views
Back
Top Bottom