Habari ya leo wanajamvi.
Ndugu Heche sasa TAWANYIKENI, baada ya concentration of power kuwa Kanda moja yaani Kanda after Kanda, sasa hivi ni vyema mkatawanyika. Mpige Kanda zote at ounce, hii...
Taarifa kutoka Mbeya zinadokeza kwamba Wakili Msomi Peter Kibatala , anatarajiwa kuwa miongoni mwa Mawakili wa Utetezi kwenye kesi ya uongo ya uhaini iliyobadilishwa kutoka kwenye Uchochezi ...
Wadau wote tunajua Watanzania wenzetu tena Wazalendo wa kweli wenye Uchungu na Raslimali za Nchi yetu yenye Wananchi wake Masikini na Wanyonge walikamatwa na kushtakiwa kwa Kosa la UHAINI Kosa...
Fikiria DPP ,anakaa anashauriana na Polisi ,wanaamua kumkamata MH LISSU na kumpa Kesi za kusema Uongo.
Uongo wenyewe Sasa
1-Mh LISSU kusema Wagombea wa Upinzani walienguliwa Kwa maelekezo ya...
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania inapiga hatua kubwa katika kuimarisha demokrasia na maendeleo ya kijamii na kiuchumi, ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya wanasiasa wakichagua njia za...
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??
Wepesi kama biskuti?
Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.
Keyboard warriors wa hapa Jf...
Serikali ya Tanzania imekamilisha upembuzi yakinifu wa kuwezesha Wakazi wa Tegeta hadi Bunju kutumia Usafiri wa Treni.
Treni hii itajengwa kuanzia Ubungo Maziwa, Kupitia Mlimani City, Mwenge hadi...
Serikali inaendelea na ukarabati wa meli ya mafuta ya MT Sangara mkoani Kigoma kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 3.60 ambao umefikia asilimia 98.
Mradi huu utakapokamilika utawezesha kubeba...
Hebu fikiria hili. Chakula cha familia kinatayarishwa. Halafu kabla ya kula mtoto anamshauri baba kwamba ni vema kila mtu anawe mikono kabla ya kuanza kula, kwa sababu huko nyuma waliumwa matumbo...
Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49
2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi and Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewasili mkoani Lindi Aprili 10,2025 kwa ajili ya ziara yake katika mikoa miwili ya...
Waislamu watampinga na kumkataa kwa 100%, Wakristo watagawanyika, Wakristo jina watakuwa naye (labda) lakini Wakristo real hawa-relate naye, hivyo ni ngumu sana kwake kutoboa na harakati zake...
Mbunge wa zamani wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea ameyasema hayo akihojiwa na Wasafi FM. Amesema Si kwamba wanatoka Kaskazini sijui Tanga, ila ni Arusha na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa G55...
Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alishiriki kumkataa Hayati Edward Lowassa asimamie Chama hicho.
Niliwahi kuongelea suala la hukumu, hasa za Mahakama Kuu kuandikwa na "vitoto" vya Mahakama za Mwanzo vilivyopachikwa majina "wasaidizi wa jaji" Na pia tabia ya majaji kuwa na vikosi vya mahakimu...
Kwa mwendo huu inaelekea kwamba hatutapata matatizo yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu .
Halafu Polisi Ruvuma imewaambia Chadema kwamba haipingi mikutano yao ila Chadema hawana ruhusa kusema...
Rostam Aziz ameomba radhi kwa majaji akisema ulimi uliteleza na hakumaanisha ambacho alikisema kuhusu majaji kuhongwa. Nadhani amefanya jambo la kiungwana sana.
===
Leo Jumanne July 4, 2023...
YAMETIMIA, BWAWA LA MWALIMU NYERERE LAKAMILIKA, SASA KUANZA KUZALISHA MEGAWATT 2,115
Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JHPP), ambao umegharimu Shilingi Trilioni 6.5, leo umefikia hatua muhimu...
Zikiwa zimebaki wiki chache kufikia Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 linaloandaliwa na Kampuni ya Msama Promotion, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...