Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefika kupiga kura kituoni mida ya saa 5 asubuhi. Watu hawakuwa wengi na walikuwa wanakuja taratibu, wengine wapo shambani wanasubiri wapigiwe simu zamu yao ikikaribia. Kilichoniudhi ni kukuta...
3 Reactions
6 Replies
528 Views
Mbali na baadhi ya wananchi kujitokeza lakini kumekuwa na changamoto mbalimbali kama vile Utaratibu wa majina haujafuata mpangilio wa majina ya watu (alfabeti) na kuchanganywa hali ambayo...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amepiga kura leo Novemba 27, 2024 katika Kituo cha Shule ya Msingi Madaraka ikiwa ni haki yake Kikatiba Kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka ya...
0 Reactions
1 Replies
341 Views
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Iringa Mjini kimesusia uchaguzi wa serikali za mtaa kwa Kilee walichokiita kutoridhishwa na mwenendo mzima wa msimamizi wa uchaguzi jimbo la...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi, Rhoda Kuchela amebainisha kutokea kwa kasoro nyingi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024...
1 Reactions
2 Replies
557 Views
Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura...
0 Reactions
2 Replies
487 Views
Nina uhakika wapinza hawatashinda hata mitaa 10 nchi nzima 1. Vituoni hamna mawakala wa vyama vya upinzani, Kuna mawakala wa Chama kimoja CCM pekee Hapa tutegemee hata wakishindwa watasema...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Mbunge wa Viti Maalum ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ameungana na wananchi wa Kitongoji cha Kiriche kupiga kura mapema leo Novemba...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Wananchi wa Wilaya za Itilima na Meatu Mkoani Simiyu wakiendelea na zoezia la kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
0 Reactions
0 Replies
444 Views
TAARIFA KWA UMMA Matukio mbalimbali ambayo yametolewa taarifa mpaka muda huu wa saa nne kamili asubuhi, leo tarehe 27 Novemba, 2024 siku ya kupiga kura, uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mauaji...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu, Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary anawahamasisha wananchi kujitokeza kwenda kupiga kura kuchagua viongozi wanaowahitaji. Bi Zuwena ametoa wito huo leo Novemba 27, 2024 mara...
0 Reactions
3 Replies
374 Views
Wakuu, Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amepiga kura katika kituo cha Gharani Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya...
0 Reactions
1 Replies
341 Views
Kuzaliwa kwa vituo vipya vya kupigia kura tofauti na vilivyotumika kuandikisha imetajwa kuwa sababu ya wananchi kutoona majina yao katika sehemu walizojisajili. Hilo limesemwa na Msimamizi...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA) Kanda ya Ziwa Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu, ni miongoni mwa wakazi waliojitokeza kupiga kura katika Mtaa wa...
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini mkoani Katavi Sebastian Kapufi amepiga kua katika kata Ya Nsemulwa kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe wa serikali za mitaa. Akiwa hapo Kafupi amesema kuwa hali...
0 Reactions
0 Replies
461 Views
Salam, Wakati zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa likiwa linaendelea, kumeshuhudiwa vurugu katika kituo cha Shule ya Msingi Kibirizi, Manispaa ya Kigoma Ujiji hali iliyopelekea Jeshi la polisi...
2 Reactions
6 Replies
815 Views
Wakuu, Waziri wa Fedha na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), leo Novemba 27, 2024, ameungana na wananchi wa jimbo lake katika zoezi la kupiga...
0 Reactions
4 Replies
569 Views
Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Back
Top Bottom