Wakuu,
Naona trip za kuwatembelea wagonjwa zimekuwa nyingi zimekuwa nyingi kipindi hiki.
Kuna nini kwani? Au ndo maandalizi ya Uchaguzi ?
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
Kwa vipigo vinavyoendelea miongoni mwa viongozi waandamizi wa chadema ngazi mbalimbali nchini, hususani wanawake, kuna kila dalili za magenge ya kihalifu kuhifadhiwa ndani ya chadema na...
Kiukweli tumekubwikwa na viongozi wa aina moja nkiwa na maana ya kwamba hutambua majukumu yao mpaka Wananchi wakionyesha kuriakti... Mfano wimbi la ufungaji barabara linaenda kasi sana na...
Bashungwa Ana mfumo wake wa kizamani Sana .
Anazunguka vijjini na kuwapiga picha watu waliochoka na kukata tamaa ya maisha na kuwarusha mitandaoni
Kwanza unafany kosa kubwa Sana na kudhlilisha...
Mbunge mstaafu, Abdallah Bulembo ambaye ni mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jamii) ameahidi kutoa milioni 3 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo...
Ndugu zangu Watanzania,
Tukio la Kupigwa ,kuumizwa ,kujeruhiwa na kuteswa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA Taifa limewaacha watu na maswali Mengi sana vichwani Mwao. Watu wanajiuliza ikiwa Kiongozi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameahidi kutoa milioni 5 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana...
Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi, ameupinga vikali mpango wa kuligawa jimbo hilo, akidai kuwa hauzingatii maslahi ya wananchi na badala yake unalenga kuwatenga baadhi ya wakazi...
Ripoti ya CAG 2023/2024 imebainisha kuwa Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) linadaiwa Tsh. Bilioni 238 na Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Deni halisi...
Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome...
Mbunge wa Buchosha Mhe. Eric Shigongo ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 5 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na...
Rais wa Timu ya Yanga Hersi Said ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 5 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu...
Kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mkono wa Eid El Fitri kwa watoto wenye uhitaji maalum kwenye makao ya watoto 23 mkoani...
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewasihi Waislamu na Watanzania wote kwa ujumla kutounga mkono vitendo na kauli kutoka kwa Mtu au kikundi cha Watu zinazolenga kuchochea...
Hizi karibuni Rais Samia alisema mapungufu yalikuwepo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wamejipanga uchaguzi mkuu kuendeshwa kikanuni na sheria zilizowekwa.
Nafikiri kila mtu anapaswa...
Balozi wa Mazingira na mhamasishajI Michael Msechu amehamasisha wakazi wa Mkoa wa Pwani kuhusu ujio wa Mwenge wa Uhuru wa Kitaifa 2025 na kuhamasisha umoja na maendeleo ya Miaka minne ya Rais...
Hakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi...
Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na...
Wanabodi
Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Karibuni...