Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Dodoma mjini na waziri wa Madini Mhe. Anthony amechangia kiasi cha pesa shilling milioni 5 za kitanzania kwa ajili ya kununua miamvuli 100 ambayo itawasaidia wafanyabiashara kutoka...
1 Reactions
1 Replies
314 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Bajaji mpya yenye thamani ya Shilingi milioni 10.5 Kwa Baraza la Wanawake wa Kiislamu Tanzania, Wilaya ya Iringa lengo...
0 Reactions
3 Replies
453 Views
Mbunge wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha Mhe. Fredrick Lowassa amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa takribani shilingi Bilioni 37 kwaajili ya kutekeleza miradi ya maji wilayani...
0 Reactions
1 Replies
329 Views
Magufuli hatokaa asahaulike hadi atakapopatikana jembe lingine. He lived a glorified life for his nation.
4 Reactions
28 Replies
908 Views
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anapaswa kuungwa mkono pindi atakapochukua fomu ya...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Baada ya uongozi mzima wa nchi kuamini kwamba VETA ndo suluhisho la matatizo ya nchi, ningependa kujaribu kutafuta ajira kule Bungeni. Bungeni bado tuna watu wanajua kusoma na kuandika tu! Hata...
5 Reactions
14 Replies
644 Views
Ni miaka zaidi ya 30 sasa imepita pale ambapo wanasiasa, wadau wa Demokrasia na wanaharakati walitaka kutokee kwa Mageuzi ya sheria za uchaguzi na Katiba ambayo yanahakisi mabadiliko ya kurejea...
1 Reactions
11 Replies
651 Views
Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Mzee Wasira akizungumzia Mbeya amewashangaa wanaodai CCM haijafanya kitu,haijaleta maendeleo na imeshindwa licha ya Kukaa mda mda mrefu anasema kazi ya Maendeleo Haina Mwisho na Maendeleo yanazaa...
2 Reactions
10 Replies
421 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo, Jumanne Machi 18.2025 kimemueleza Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusiana na msimamo wake wa 'No Reform, No Election' Akizungumza na wanahabari nje...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Mnakumbushwa Ndugu Wananchi wenye vigezo kujiandisha isije fika October mnaanza kelele kura zenu zimeibiwa kumbe hamkujiandikisha
0 Reactions
2 Replies
263 Views
JARIBU LA HAYATI RAIS MAGUFULI NA JARIBU LA AYUBU. Leo 13:15hrs 04/02/2023 Jaribu la Hayati Rais John Pombe Magufuli linakuja kwenye kutajwa kwake mara kwa mara,penye hoja na pasipokuwa na...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu, Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat tunamaanisha mambo kama haya. I'm very glad hii discussion ya Wachina inaendelea na hata wanasiasa wameanza kugusia...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu, Mfanyabiashara wa huduma za kifedha (wakala), Davis Mandari (48), mzaliwa wa Kilimanjaro na mkazi wa Kwa Mrefu, jijini Arusha, ameripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Inadaiwa...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona. 2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%. Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwa kweli ni aibu jinsi jiji la Daresalam lilivyokuwa chafu, kuanzia uwanja wa ndege mpangilio mbovu,ukija stand ya Magufuri wamejaa wamachinga kila sehemu,nenda sasa pale mbezi ukapande...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Nimegongewa mlango asubuhi ya leo, na watu waliojitambulisha kuwa ni balozi, mwenyekiti na askari mgambo, Wakieleza kwamba natakiwa kulipa faini jumla sh 12,500/= ambapo 10,000/= ni kwa kushindwa...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Mimi nahitaji kujiunga na BBT mradi wa kilimo ningependa kujua umefikia wapi. Maana VETA sitoweza Naomba ufafanuzi Ahsante.
2 Reactions
5 Replies
328 Views
Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo. Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa...
12 Reactions
57 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…